Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
Mchoro umetiki umepata kazi ukalipwa million hela haichukui siku mbili ya tatu chali umebaki na hewa hamna kitu ila ka elfu ulichobakiza kanadumu hata siku nne bila shida, unakabembeleza leo 2000, kesho umetumia 3000 keshokutwa 3000 na nyumbani hutoki siku nzima.
Kwanini hatuna ile roho ya...
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.
Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
Kama sio mtaalam wa burudani sio lazima uchangie.
Nasikia sikia Mbudya, Mbudya kila kona, nataka nitoke na shemeji/ wifi yenu this weekend.
Niende nae au ntajibania mema ya nchi akiwa pembeni?
Dkt. Lilian Mnabwiru, Bingwa wa Magonjwa ya Kina Mama na Masuala ya Uzazi, Muhimbili anasema Urinary tract infections (UTI) ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo na moja kati ya njia au sababu zinazoweza kusababisha maambukizi ni wakati wa kujamiiana hasa kama mazingira si masafu.
Ameyasema hayo...
Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa.
Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa.
Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
Mapitio ya Awali: Katiba ni waraka muhimu katika kusimamia utawala na kuelekeza maendeleo ya nchi. Tanzania, kama nchi nyingine, imekutana na mjadala wa kuandika katiba mpya, na hoja mbalimbali zimejitokeza kutoka kwa wadau wa mchakato huo. Taarifa hii inatoa tathmini ya kitaalam juu ya mjadala...
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme kwa wananchi, jamii na biashara kwa ujumla.
Wakati wa miaka ya Magufuli, umeme haukuwa unakatwa ovyo...
Nimekaa nikakumbuka wakati nikiwa chuo Kuna mdada nilitokea kumuelewa Sana.
Picha linaaza hivi huyu mdada tulisoma wote advance but wakati tukiwa advance sikumconsider sana means tulikuwa tunaonana juujuu tu.
Baada ya kumaliza advance kumbe nae alichagua chuo ambacho na Mimi nipo but pia...
Kwa simu tofauti na laptops nimefanya hii ishu na nimekosa jibu, hata Nikitumia router au modem nayo ni hivyo hivyo.
Nilidhani ni janja janja za mitandao labda kuna vitu vyao ila nishajaribu line 4 tofauti, ni hivyo hivyo.
Nadownload file la MB 10 lakini Data usage inaonyesha MB 12,,,
Hii ni...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel
Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya
Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
Habari za majukumu ndugu wajumbe wa JF.
Pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja.. Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je, ni yupi anaweza kuwa mke bora kati ya hawa wawili?
1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado...
Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk.
Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji wa kisasa kwa kutumia vyakula vyenye kemikali za ukuzaji.
Au kilimo cha kutumia kemikali.
Swali...
Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru.
Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi.
Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake.
Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
Awali ya yote niwashukru nyote wanajukwaa hili kwa msaada wenu mkubwa wa kuelimisha kuhusu magari hasa sisi tusio wazoefu.
Baada ya utafiti kupitia humu kama miezi 6 hivi nimeamua nichukue Mitsubishi Pajero badala ya SUV mid size za Toyota.
Hii gari ina cc 2970 na 127,000km, ina seat 7 na ni...
Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako.
Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
Kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya wa Tanzania wa kada mbali mbali pale wanapo elezea jambo sasa inapokuja kuli tafsiri ilo neno au msamiati kutoka English kuja kiswahili, au kiswa kwenda Eng utasikia mtu anasema eti kwa lugha ya kitalaam inaitwa.
Mfano:
Mtalaam wa lishe labda anaelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.