kalamu

Kalamu is a municipality (commune) in the Funa district of Kinshasa, the capital city of the Democratic Republic of the Congo.It forms the part of the city to the south of major buildings such as the Palais du Peuple ("Palace of the People"), the Stade des Martyrs ("Martyrs' Stadium") and Kinshasa's N'Dolo Airport.
The town contains the popular Matongé neighborhood, the Victoire roundabout and the Stade Tata Raphaël ("Father Raphael Stadium").

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

    Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa. Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
  2. Mohamed Said

    Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa...
  3. U

    DOKEZO Wizara ya Elimu yataka kila mwanafunzi kulipa Tsh 1000 kama ada ya TAHLISO. Huu ni wizi na ni kinyume cha Katiba ya TAHLISO

    UTANGULIZI TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
  4. Chachu Ombara

    Mzee Butiku: Watanzania wengi hawajaridhika Mkataba wa Bandari, tusahihishe ama tuache kabisa

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku atoa ushauri wake sakata la Uwekezaji Bandari " Watanzania hawajaridhika na jambo hili,tulisahihishe ama tuliache kabisa" ---- Natoa shukrani kwa Rais wetu Dkt. Suluhu Samia kwa mambo mawili, kwanza kwa kuruhusu Watanzania...
  5. H

    SoC03 Kalamu ya Amina

    Katika kijiji kidogo nchini Tanzania, kijana mwanamke aliyeitwa Amina alikuwa amechoshwa na ukosefu wa uwajibikaji na uwazi katika mfumo wa afya. Aliweza kushuhudia kwa macho yake mwenyewe ugumu ambao jamii yake ilikabiliana nao katika kupata huduma bora za afya na alikuwa na azimio la kuleta...
  6. Burkinabe

    Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

    Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu. Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu...
  7. Mohamed Said

    Uzinduzi wa Jengo la Maalim Seif: Alberto na Jabir - Kalamu Zinazosema na Kuandika

    Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma. Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
  8. Mohamed Said

    Kwanini nilinyanyua kalamu kuandika historia ya TANU?

    KWA NINI NILINYANYUA KALAMU? Naona ukumbi kama vile umejaa na kinachosubiriwa ni kuanza mazungumzo. Najiuliza mwenyewe kwa nini niliamua kuandika kitabu hicho hapo juu kueleza historia ya TANU ilhali tayari historia ya TANU mbayo ndiyo historia ya uhuru wa Tanganyika ilishaandikwa na Chuo Cha...
  9. Mohamed Said

    Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  10. M

    SoC02 Kalamu na karatasi ni nyenzo za msingi kabla ya kuanza mapambano

    Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
  11. The Sunk Cost Fallacy

    CAG: Kuna wizi wa Kalamu Ujenzi wa Daraja la Kigongo - Busisi

    Moja kwa moja kwenye mada.. CAG abaini wizi na ufisadi kwenye mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi.. Wazalendo uchwara waje fasta maana 👇 === Miaka miwili kabla ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi haujakamilika, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amegundua...
  12. Mohamed Said

    Kalamu ya Alhaj Mohamed Tambaza

    KALAMU YA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA ''Lakini Abdallah Laatasi, ambaye ni mjukuu wa Diwani Omar Laatasi, anakumbukwa zaidi katika mchango wake katika kufanikisha kupatikana uhuru wa nchi hii; kwani yeye na hayati mkewe Bi Chiku bint Said Kisusa (Mama Sakina); walikuwa mstari wa mbele kukijenga...
  13. Mohamed Said

    Kwanini Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere hakunyanyua kalamu kuandika maisha yake?

    KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE? Naikumbuka siku hii kama jana vile. Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa rafiki yangu mmoja ambae ajabu sana yeye ananiambia kuwa aliona kitu katika maandishi yangu toka enzi...
  14. Page 94

    Rais Samia usiongee kwa kalamu, washtakie wananchi

    Wasalaam!. Kipindi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu anaanza kupanga safu yake ya uongozi, alisisitiza sana watu wafanye kazi kwa bidii na kuheshimia. Zaidi, alihimiza kuwa yeye hatofoka hadharani kwa wale wote ambao wataenenda kinyume na maagizo yake au kinyume na maslahi ya umma. Yeye alichagua...
  15. N

    Kitu pekee cha kuibadili dunia ni kalamu

    ✍🏿✍🏿 KITU PEKEE CHA KUIBADILI DUNIA NI KALAMU. 🖌️ Wengi wanasema kuwa Mimi siwezi: 1. Kusoma makala ndefu. 2. Kusikiliza mazungumzo. 3. Matamasha na kadhalika. 👆🏽 Watu hawa kamwe hawezi kuibadili dunia au kufanya mambo ya kipekee, kwani wanakwepa ujuzi. 💧 KUELEKEA SAFARI YA...
Back
Top Bottom