bunduki

Bunduki is a 1975 novel by J. T. Edson, and the first work in the Bunduki series that followed. The series involves characters related to Tarzan and was initially authorized by the estate of Edgar Rice Burroughs. In the opening of the novel the main protagonists are transported from Earth to Zillikian (see below).

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa kukutwa na bunduki aina ya Shotgun Pump Action bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Bwiga (33) mkazi wa Ifumbo na Isaya Zumba (38) mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shotgun Pump Action bila kibali. Akizungumza na waandishi wa habari Mei 15, 2024 Kamanda wa Polisi...
  2. Nyendo

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

    Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa. Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
  3. W

    Walimu Waruhusiwa kuingia na Bunduki Shuleni

    Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne. Imeelezwa kuwa wabunge hao ambao ni wanachama wa Republican wa Tennessee House walipitisha sheria hiyo kwa walimu na wafanyakazi wengine...
  4. P

    Ni katika hali gani Askari anaruhusiwa kutumia bunduki?

    Sijawai kuwa Askari ila naona kuna matumizi yasiyo sahihi ya nguvu na risasi kwa wahalifu au watuhumiwa. Kwa kisa hiki kilichomsababishia majeraha makubwa binti wa miaka 16 kwa kupigwa risasi na askari utaona kabisa hapa kuna kitu hakijakaa sawa. Risasi zinazopigwa hovyo hovyo zimegharimu...
  5. MK254

    Video: Magaidi 70 ya HAMAS yaliyokua ndani ya hostpitali yajisalimisha na bunduki zao

    Jamaa wameamua isiwe tabu IDF airs clip of gunmen surrendering in northern Gaza hospital, says 70 handed themselves in https://twitter.com/i/status/1735253223751946703
  6. MK254

    Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  7. Webabu

    Askari wa Israel wazidi kupukutika. Watu wa Gaza washangaa kifaru kupigwa na bunduki za RPG

    Jeshi la Israel limekiri kupoteza askari wake 15 katika masaa 24 yaliyopita.Idadi halisi ya waliokufa huenda ni zaidi ya wale 67 waliotangazwa na Hamas hapo jana. Katika taarifa za leo vikosi vya Hamas vimesema mapambano makali ya ardhini yanaendelea katika viunga vya mji wa Gaza na kwamba...
  8. Carlos The Jackal

    Mitihani ya darasa la nne nayo mnasimamia na polisi wenye bunduki?

    Bunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu? Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa? Acheni mazoea ya Kijinga, zama zimebadilika.
  9. Hakuna anayejali

    Haya mambo si mazuri yanashusha hadhi ya tiba asili

    Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
  10. R-K-O

    Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo. SILAHA ZANGU 1. FIRIMBI firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga. 2. MANATI Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
  11. Suley2019

    Hii Imeenda: Aliyeua kwa upanga ameuawa kwa bunduki

    Wakuu hii tuiitaje hii? Dada kamchokoza msela kaleta dharau kageuziwa msala
  12. BARD AI

    Kenya: 'Wasiojulikana' wavamia Studio za Redio na Bunduki huku kipindi kikiendelea

    Watangazaji wa Kituo cha Redio cha Mwinjoyo FM kutoka Nakuru Nchini Kenya wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya wanaume waliovalia nguo nyeusi na Viziba Sura kuwataka wazime matangazo na kulala chini. Baada ya maagizo hayo waliwataka Watangazaji kueleza kama kuna mtu mwingine kwenye jengo la...
  13. Chawa wa lumumbashi

    Pesa ni za kwangu ila mie nashikiwa bunduki kisa wewe ni deep state? Haikubaliki

    Hii kitu hakiwezekani kabisa mimi nakudai billions of money ila unanishikia Bastola eti kisa wewe ni deep state hii kitu hajiwezekani na bila shaka ya muhusika upo humu na unaisoma hii thread kile kitendo ulichonifanyia pale Hyatt regency kunishikia bastola ile jana tayari nimeshashitaki pale...
  14. Mr Dudumizi

    Mtanzania mwingine apigwa risasi Afrika Kusini

    Habari zenu wana JF wenzangu. Nikiwa natoka zangu kwenye shughuli zangu, nikaamua kupitia maskan fulani ya wabongo huko town. Nika stick kwa masela huku tukipiga story mbili tatu na kukumbushana mambo flan flan ya miaka kadhaa iliyopita (maana ni miaka sasa sifiki town kwa washkaji) ghafla...
  15. Last Seen

    Nigeria: Mchungaji apanda madhabahuni na silaha aina ya AK-47

    Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47. Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo. Polisi jijini Lagos...
  16. Intelligent businessman

    Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

    Salaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha. kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote. kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie...
  17. M

    Rwanda wamedhibiti Uhalifu 95% kwa mtutu

    Jirani zetu Rwanda Ni ngumu kusikia vikundi Kama Panya Road. Kule adabu ipo maana wajeda wanazunguka barabarani na SMG au AK-47 muda wote na ukileta mchezo unapata kile unastahili mubashara (live) na hakuna sijui NGOs sijui Human rights report, Usalama Kwanza. Inasikitisha Tungekinya...
  18. Idugunde

    Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyo Vamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti Sunday September 25 2022 Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao...
  19. BARD AI

    TANZIA Mtanzania apigwa risasi na kufariki Afrika Kusini

    Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji. Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
Back
Top Bottom