degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. athumani mfaume jr

    Msaada wa kazi, nina degree ya IT

    habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
  2. M

    Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  3. kajamaa kadogo

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili. MADA Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo...
  4. daizouh

    Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  5. FaizaFoxy

    Rais Samia Atunukiwa Udaktari wa Uchumi (Doctorate of Economics Degree) Uturuki

    Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Uchumi kwa kutambua uongozi wake wa kipekee katika kuendeleza mageuzi ya...
  6. M

    Inaumiza sana mtu ana masters degree ila hawezi hata kujilipia kodi ya chumba kimoja. Elimu ya juu imesababisha wategemezi wengi wenye umri mkubwa

    INAUMIZA SANA KWA KWELI UNAPOONA WASOMI WAZURI ILA WANA HALI NGUMU KIUCHUMI. Wazazi tuchukue tahadhari, Tusomeshe watoto sambamba na kuwaandaa waweze kujiajiri ama kufanya biashara, degree/masters zinawaaibisha watu mitaani Wazazi tunapaswa tubadilike sana kwenye kuwekeza kwa ajili ya watoto...
  7. blackdread

    Inawezekana kuwa na shahada ya kwanza zaidi ya moja nchini?

    Je, sheria ya elimu ya juu Nchini inamruhusu mtu kumiliki shahada mbili katika tahasusi mbili tafauti yaani niwe na degree ya Civil engineering kutoka UDSM halafu niende zangu CBE kuchukua bachelor ya Business Management Naomba kufahamu kwa watu wanaoifahamu au kujua watu ambao washawahi...
  8. Optimists

    Nikasome degree nyingine au nifungue biashara?

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box. Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
  9. T

    Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

    Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties). Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and...
  10. athumani mfaume jr

    Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Habari za muda huu ndugu zangu?, Mimi Athumani mkazi wa Dar es salaam mwenye degree ya IT. Natafuta kazi ya kujitolea ili nipate uzoefu na kuongeza kitu kwenye CV yangu. Nina ujuzi wa graphics, na kutengeneza web apps hivyo naomba msaada wenu. mawasiliano: 0656058186
  11. matunduizi

    Nashauri: Kuongea Kiingereza kwa unyoofu (fluency) ibaki kuwa kigezo cha kumpima Mtanzania mwenye Degree

    Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini. Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology. Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile...
  12. Jidu La Mabambasi

    Nimesikitika kukutana na nakala na cheti cha shahada ya Uhandisi kutengenezwa kifungashio

    Kweli hiki ni kiashirio cha usomi kukosa maana katika jamii! Nimeenda pharmacy kununua dawa, nilipofika nyumbani kucheki kifungashio nakuta nembo ya usomi, UDSM. Kila aliyepita pale UDSM anaifahamu. Kutazama vizuri naona ni nakala ya cheti cha mtu, tena cha uhandisi nilikopitia mimi...
  13. F

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
  14. peno hasegawa

    Tetesi: Freeman Aikael Mbowe kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima( PhD)

    Kuna fununu kuwa mtajwa hapo juu kutunukiwa degree ya Udaktari wa Heshima chuo kikuu kilichopo nchini Marekani mwezi February 2024. Kama ni kweli tumuombee. Tumpate Dr. Freeman Aikael Mbowe!!
  15. GENTAMYCINE

    Je, mnanitunuku lini 'Honorary Doctorate Degree' yangu kwa kuwa Visionary and Rational Thinker?

    Kuna Watu mnawalundikia Mashahada ya Heshima mbalimbali ya kuhusiana na Mambo fulani fulani ambayo GENTAMYCINE nikiangalia au nikitafuta walichofanya au walichokifanya huko wala sioni au sikioni. Haya watoa Honorary Doctorate Degree niangalieni nami GENTAMYCINE na niandalieni yangu kwani...
  16. athumani mfaume jr

    Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa ya kunisaidia kupata kazi ya aina yoyote nipo tayari kuifanya naomba wakuu tusaidiane kwa...
  17. The Evil Genius

    Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  18. Zanzibar-ASP

    Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  19. F

    CHINA wana viwanda vya kumwaga, wanatengeneza kila kitu ila bado Graduates hawapati ajira. Elimu ya chuo kikuu ni SCAM, degree hazina dili

    habari wadau. nimeona BBC article kuhusu soko la ajira la china. nimejifunza zama hizi kumsomesha mtoto chuo kikuu tena digrii zisizo za skills based, kama ufundi ni kuchezea hela. kuna siku mwanao atakulaumu kwa mnaojua kiingereza ama kizungu. mjisomee na nyinyi With Graduate Jobs Scarce...
Back
Top Bottom