askari magereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    Esther Matiko ahoji tofauti ya mishahara kwa askari magereza na askari polisi licha ya kuwa wote wapo wizara moja

    "Nini kinasababisha tofauti ya maslahi kati ya Askari wa Jeshi la Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza, mathalani Assistant Inspekta of Police anapewa basic salary shilingi laki tisa na elfu hamsini (950,000) wakati wa magereza anapewa kiasi cha shilingi laki nane na elfu hamsini na saba...
  2. WeedLiquorz

    Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  3. Teko Modise

    Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

    Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui? Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao. Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine. Pili makazi yao duni...
  4. Basi Nenda

    Askari Magereza aliyesingiziwa kubaka ameachiwa huru

    Hizi kesi tunazosomaga humu kwamba mtu mzima amebaka mtoto kumbe baadhi huwa ni za mchongo Morogoro. Ofisa magereza katika gereza la Kingolwira mkoani Morogoro, Samwel Stanley, ambaye Agosti 22 mwaka 2022 alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka nane...
  5. Muha wa mjini

    Walioitwa kwenye usaili wa askari magereza Dodoma

    Habari viongozi. Samahani sana ningependa kujua kama kuna mwanajamii forums yoyote alie itwa kwenye usaili Tujuane. Na Tuulizie kwa wale wazoefu wanaojua maswali yanayo patikana kwenye Usaili ni ya aina gani?
  6. xack

    SoC02 Sera mpya kwa wafungwa

    MBINU MPYA ZA KUBORESHA MAISHA YA WAFUNGWA UTANGULIZI Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uhai alionipa na kunijalia mawazo mazuri ya kuandika ili jamii yangu iweze kuimarika, napenda kutumia nafasi hii kuandika kwa ajili ya rafiki zangu, ndugu zangu na jamaa yangu walio nyuma ya nondo za...
  7. shampondo shila

    Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  8. Roving Journalist

    Kesi ya Mauaji ya Mkuu wa Gereza la Liwale na wenzake yasikilizwa Mahakamani, yaahirishwa leo Julai 6, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imeahirisha kesi ya mauaji ya mfungwa Abdallah Ngalumbale inayowakabili maafisa watatu wa Magereza Mkoani Lindi kutokana na upelelezi kutokamilika. Watuhumiwa hao ambao ni ACP Girbert Sindani ambaye ni Mkuu wa Gereza la Liwale, Sajenti Yusuph Selemani...
  9. Saint Ivuga

    Ajira 350 za Askari Magereza

    Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji.. kuna tatizo mahala?
  10. Roving Journalist

    Hassan Said(26), Askari Magereza Ukonga, ashikiliwa kwa tuhuma za kubaka na kulawiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA KOSA LA UBAKAJI NA UDHALILISHAJI ACP Debora Magiligimba RPC Ilala Jeshi la Polisi Mkoa wa Ilala linamshikilia Said Hassan Said, 26, Askari Magereza, Mkazi wa Ukonga kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 29...
Back
Top Bottom