Search results

  1. Nyendo

    Upi ushauri au maoni yako kwa anayekusudia kugombea nafasi yoyote nchini?

    Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu? Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma? Mwaka huu wa 2024...
  2. Nyendo

    Gridi ya Taifa yapata hitilafu na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme, TANESCO watoa taarifa

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo. TANESCO wanasema Juhudi za...
  3. Nyendo

    Kwa upande wako kiongozi mwenye sifa zipi ndiye mtawala bora?

    Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
  4. Nyendo

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
  5. Nyendo

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama Bunduki zinagawiwa na kuuzwa kwenye Shule za Tanzania

    Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa. Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
  6. Nyendo

    Ushawahi jaribu kupika vitu vipya ukatoa boko?

    Mie napenda kujaribu vitu vipya jikoni, mfano pishi jipya au hata viungo vipya au mchanganyo mpya wa viungo na pishi. Japo kuna nyakati mara chache siyo mara nyingi huwa nikijaribu mchanganyo mpya wa pishi jipya naharibu ila mara nyingi natoa kitu hadi najisifu. Kuna pishi nililiona mtandaoni...
  7. Nyendo

    Jambo au mambo gani hutaki kuyaona yakijirudia tena kwenye chaguzi zijazo?

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu kuna mambo mengi yameanza kujitokeza na yatajitokeza zaidi kadri muda unavyozidi kwenda kwenye mchakato mzima mpaka siku ya kupiga kura na hata wakati wa matokeo na baada ya matokeo. Yapo mambo mengi yalitokea nyakati au chaguzi zilizopita ambayo yaliibua hisia...
  8. Nyendo

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo Pia Soma - Kiongozi wa Halmashauri Mafia adaiwa kumbaka Dada wa kazi. Je, Utenguzi alifanya Rais unahusiana na tukio hili? - Polisi Mafia wamchunguza DED aliyetenguliwa na Samia
  9. Nyendo

    Una kadi yoyote ya chama cha Siasa? Uliichukua kwa madhumuni gani?

    Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate na kadi ya chama chao huku wakinishawishi kuwa siyo gharama kubwa kulipia kadi hiyo kwa mwaka. Jambo...
  10. Nyendo

    Serikali: Tutaanza kuwalipa fidia wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege

    Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)...
  11. Nyendo

    Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  12. Nyendo

    Tafuta taarifa sahihi ya chama au mgombea kabla ya kuamua kumchagua

    Uchaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia ambapo wananchi wanapata fursa ya kuchagua viongozi wanaowaongoza. Hata hivyo, ili kufanya maamuzi ya busara na yenye tija, ni lazima wananchi wapate taarifa sahihi kuhusu vyama vya siasa na wagombea wao. Taarifa sahihi hapa inamaanisha habari...
  13. Nyendo

    Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  14. Nyendo

    Meli ya Maman BENITA yazama ikiwa na abiria 26, aonekana 1 tu

    Meli ya Maman BENITA iliondoka Kigoma jioni ya tarehe 06/04 kufika Kalemie DRC asubuhi ya leo tarehe 7/4/2024 na kuzama. Ndani ya Meli hiyo kulikuwa na abiria 25 wakiwemo Wakongo 16, Wachina 4, Watanzania 4, Mkenya 1. Mchina aliyenusurika baada ya meli ya hiyo kuzama alisema, "Ilipofika majira...
  15. Nyendo

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini. Ujumbe huo ulisomeka kuwa, Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa...
  16. Nyendo

    Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
  17. Nyendo

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia. Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Manyara ACP Lucas Mwakatundu amesema tukio hilo limetokea March 23 2024 ambapo gari hilo...
  18. Nyendo

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu aagiza wanaomiliki fisi wawachunge wasidhuru watu

    Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amemuagiza Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyamikoma, Kata ya Kabita Wilayani humo kuwaita Waganga wa tiba asilia Kijijini hapo ili kuwaomba Wawachunge na kuwadhibiti fisi ili wasidhuru Watu kwakuwa fisi hao inaaminika wanamilikiwa na baadhi ya Watu...
  19. Nyendo

    Utamjuaje Mgombea asiyefaa kuchaguliwa?

    Ni mgombea muongo yule ambaye ana maneno mengi lakini yasiyo halisi mfano Kuna wimbo aliwahi kuimba Pro, Jay unaitwa ndio mzee, mgombea aliahidi wanafunzi kuwapeleka mwezi kwenda kufanya practical, ahadi kama hizo ni ahadi zinazovutia kuzisikia lakini ni ahadi za uongo zisiweza kutekelezwa...
Back
Top Bottom