Search results

  1. K

    Mwendesha Mashkata wa ICC aomba Hati ya Kukamatwa kwa Netanyahu na Waziri wake wa ulinzi kwa uhalifu wa kivita huko Palestine

    Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita. Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
  2. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  3. K

    Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  4. K

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  5. K

    Jinsi Iran ilivyotekeleza shambulio lake dhidi ya Israel

    Iran attacked Israel with seven "Fatah" hypersonic missiles - the Iron Dome did not shoot down a single one THOSE MISSILE ARE 15 TIMES FASTER THAN SOUND AND HAVE A RANGE OF 1400 KILOMETERS Moscow military expert Vladislav SHURIGIN: The Iranians carried out their night attack in waves. Since...
  6. K

    Nampongeza Rais Samia na serikali yake yote kwa hili.

    Video inajieleza,hapa nilipo tangu asubuhi umekatika mara 7 na hatimae TV yangu inchi 32 imeungua!!
  7. K

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  8. K

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Juzi Rais alialika wasanii (chawa?) wakajumuike nae Ikulu kwa ajili ya kupata futari ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao ndio ilikua chungu cha kwanza, jambo jema! Baada ya hapo taharuki kuu imejitokeza baada ya picha ya Rais Samia akikatiza mbele ya wauza madafu wawili ambao walikua wamesimama...
  9. K

    Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

    Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga makombora na kutungua ndege vita ya USA aina ya MQ9. The average unit cost of an MQ-9 is estimated...
  10. K

    Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

    "Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu NB- 2004-2005...
  11. K

    Yemen yaishambulia Israel .

    Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen. Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea Israel,lengo lake la Yemen likiwa kuwaunga mkono Palestina. Tumsome msemaji wa jeshi la Yemen,Yahya Sarae.
  12. K

    Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

    Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na...
  13. K

    Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

    Update14 February;baada ya mwezi kuanza kuranguliwa wananchi sukari.. Je mkoa ulipo sukari kilo shs ngapi?!! Hoja kuu: Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa sokoni, mfumuko wa bei unapozidi zaidi ya 50% uchumi unakua hatarini. Kwa hali ya nchi hivi Sasa...
  14. K

    Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

    Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
  15. K

    Wachungaji na watu wa dini mbona hili hamsemagi?!!

    Kumbe kuna mtu alimwaga nje na wachungaji hamsemagi😂😂 someni Mwanzo 38:9..!😂🙌
  16. K

    Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita. NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao. Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
  17. K

    Israel yatangaza kuanza kukodisha wanajeshi mamluki

    Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani. Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa...
  18. K

    Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel

    Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...
  19. K

    Israel yashambulia na kubomoa kanisa Saint Porphyry-Gaza

    Jeshi la Israel likiendelea na kampeni zake za vita dhidi ya Palestine na HAMAS,imeshambulia na kubomoa Church of Saint Porphyry-Gaza. Shambulizi hili sio la kwanza dhidi ya makanisa,misikiti,shule na hospital. Matendo kama haya hutosikia yakilaaniwa kua ni ugaidi ama uhalify,sana sana...
  20. K

    Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
Back
Top Bottom