Search results

  1. GENTAMYCINE

    Sijui ni Chuo gani hicho kilikupa hiyo CPA yako, kwani una Mapungufu mengi ila una bahati Mzee wa Msoga na Mwanae wanakubeba kwa Awamu hii ya Mama

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi kushukuru kwa maendeleo yanayofanywa katika maeneo yao. Makalla amesema hali hiyo inaanzia katika...
  2. GENTAMYCINE

    Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  3. GENTAMYCINE

    Kwanini Wachezaji wa Simba SC wakifundishwa na Kocha Juma Mgunda huwa na Furaha, Amani, Uchangamfu na Uwajibikaji mkubwa kuliko Makocha wa Kigeni?

    Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
  4. GENTAMYCINE

    Kwanini Uwanja wa Ndege wa Bukoba ni hatarishi sana kwa marubani kutua na wanapaogopa mno?

    Nasikia kama kuna Kitu ambacho Marubani wengi wa Ndege nchini Tanzania hawakipendi basi ni kupangiwa route ya kwenda Kutua Uwanja wa Ndege wa Bukoba (Kagera) kwa Watani zangu na naambiwa wapo Marubani wengine Hujivunja (Hutoa Sababu za Uwongo) ili tu wakwepe na wapangiwe Wengine. Pia kuna Mtu...
  5. GENTAMYCINE

    Haya nakuomba tuliza kabisa Akili yako na niambie umeelewa nini halafu umegundua tatizo gani kwa Maelezo haya ya LATRA?

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma za usafirishaji abiria kupitia njia mpya na ya dharura kwa safari za kati ya mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara wasiwatoze abiria nauli ya zaidi ya shilingi 105, 000. Chanzo: azamtvtz Halafu GENTAMYCINE nikiwa mkali kwa...
  6. GENTAMYCINE

    Haya wale Wagonjwa wenzangu wa Ugonjwa wa Kitajiri wa Pumu (Asthma) leo ni Siku yetu ya Kimataifa

    Zifuatazo ni faida chache walizonazo Wagonjwa wote wa Pumu ( Asthma ) duniani 1. Wengi wao huwa ni Werevu sana 2. Wataugua Magonjwa yote ila kamwe hawatapa UKIMWI ( Dally Kimoko ) 3. 99% huwa au huja kuwa Matajiri sana kwani Kiasili huu ni Ugonjwa wa Kitajiri na Matajiri 4. Katika Mapenzi...
  7. GENTAMYCINE

    Kama hujaisikia hii Kauli ya Mwanasiasa Nguli nchini Kenya Kalonzo Musyoka nairudia hapa ili na Wanasiasa wengine Afrika waisikie na waielewe vyema

    "Ukiona Wewe ni Kiongozi halafu Kutwa unasifiwa na Watu wa Magharibi ( Wazungu ) na siyo na Watu wako wa nchini Kwako jua una matatizo na kuna shida mahala" Kalonzo Musyoka. Chanzo: Citizen TV Kenya Hivyo hivyo ukiwa ni Kiongozi na ukanona unasemwa sana JamiiForums na akina GENTAMYCINE jua...
  8. GENTAMYCINE

    Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  9. GENTAMYCINE

    Kwanini Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania hufanyika sana Mwezi Oktoba na siyo Miezi mingine?

    Wakati mkijiandaa Kunijibu GENTAMYCINE naendelea Kusisitiza kuwa tuacheni sana Imani za Uchawi / Ushirikina Okay?
  10. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  11. GENTAMYCINE

    Chuo Kikuu Makerere chazindua mfumo wa kidigitali wa kufuatilia mahudhurio kwa wafanyakazi na wanafunzi

    Makerere University has launched a digital system that will enable it effectively monitor attendance of staff and students in order to limit the vice of dodging classes. The two systems the Biometric access and Student Attendance Management System (SAMS) were launched on Friday, May 3rd, 2024...
  12. GENTAMYCINE

    Wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums nawaomba tupige Kura katika hili ili tuujue Ukweli na kabla ya Kuchapana Bakora tulijue tatizo liko wapi sawa?

    Haya chagua jibu moja tu sahihi je, unadhani kwa 100% Matatizo ya Simba SC yanamhusu nani hasa kati ya wafuatao? a. Kocha Mihasira Benchika b. Tajiri Mwekezaji Muongo Muongo c. Mwana Yanga SC Mangungu na mwana Simba SC, ila Rafiki mkubwa wa GSM Abdallah Mhene Try Again d. Wachezaji wasio wa...
  13. GENTAMYCINE

    Hivi Mshauri wa Saikolojia na Ndoa za Watu nchini Tanzania Dk. Chris Mauki ndiyo kusema kuwa Mwenzetu Yeye ni Malaika na hakumbani na Kero zitupatazo?

    Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye Changamoto zetu za Kimahusiano tuitumie Kuwaonyesha Wapenzi / Wake zetu ili Wakiiona tu nao...
  14. GENTAMYCINE

    Kwa mfano kila mwana JamiiForums mwakani ( 2025 ) wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu akipewa nafasi ya Kumuuliza Swali Rais Samia Wewe utauliza lipi?

    La Kwangu GENTAMYCINE nitaliweka mwishoni kabisa mwa Kurasa ya mwisho zitakazotokana na huu Uzi wangu hapa Ok?
  15. GENTAMYCINE

    Kama hutaki Kumsaidia mtu acha lakini siyo kumsaidia na kuonesha uko nae katika Shida na Dhiki zake halafu akifanikiwa unatapa kuwa Umemuinua

    Mwenyezi Mungu ni SHAHIDI kama kuna Mtu ambaye nadhani kama Watu ambao tumejitoa Kuwapigania Watu wakiwa na Maisha yao ya chini na tungelipwa Fadhila zao ( hasa Pesa ) basi leo hii GENTAMYCINE ningekuwa nafukuzana na Tajiri Kibyongo wa Simba SC kwa Utajiri. Lakini Masikini ya Mungu Mzanaki na...
  16. GENTAMYCINE

    Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

    Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
  17. GENTAMYCINE

    Mbona sasa hivi Mashabiki wa Simba SC 'tumedoda' sana hapa JamiiForums Kulikoni?

    Si tulishakubaliana mapema tu lakini tokea Ligi inaanza kuwa Simba SC itakuwa Bingwa wa NBC na tumeshakuwa?
  18. GENTAMYCINE

    Hili nimeliona sana tu kwa Walinzi wa Majumbani sehemu mbalimbali je, ni sahihi Kiulinzi au wanahitaji Msasa zaidi?

    Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna Kuaminiana bado unamkuta kakaa pale pale Taa inammulika halafu Asubuhi ukiamka na Kukutana nae anakuambia...
  19. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
Back
Top Bottom