Search results

  1. Engager

    Kijana wangu ana mafindofindo (Tonsils). Tunashindwa kuelewa kama ni ugonjwa au ni maumbile yake.

    Kama kunamtu anauelewa au alishawahi kukutwa na hali hii naomba ushauri au experience yake. Tuligundua mtoto ana mafindofindo yamevimba alipokuwa na umri wa miaka miwili. Tulijaribu kumtibu traditionally. Kuna dawa flani tuu ya kienyeji ya kuyachua kwa siku mbili yanakwisha yenyewe. Tumekuwa...
  2. Engager

    Nimsanii gani wa mziki bongo ambaye tangu uanze kumsikia hujawahi muelewa kabisa?

    Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo kwa mbaali sana. Hata nikikutana nayo kwenye playlist ntaiskip tu.
  3. Engager

    Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  4. Engager

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  5. Engager

    Mwanamke anazidi utamu kadri anavozidi kuwa mweusi

    Chukua hiyo mtu wangu, Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
  6. Engager

    Kuna hawa wadada/wanawake wa kuwa attached to Jesus. Kwa ground ni nyoka

    Ukipitia accounts zao kwenye mitandao ya kijamii ni mwendo wa 'Asante Jehova' hawaposti nyimbo za kidunia wao ni gospal kwa kwenda mbele. Kujisnap wanaimba vijimbo vya kusifu na kuabudu. Jumapili kama hii wanajiposti, gauni refu la kitenge, biblia mkononi wanakwenda kanisani uuuuh Wanawake wa...
  7. Engager

    Wanawake wasio katika mahusiano imara ndio wanazungumzia sana siku ya wapendanao

    Angalia tu hata kwenye contact list yako. Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
  8. Engager

    Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
  9. Engager

    Huwa nawaambia na nasema tena: Mwanamke sio mbadala wa nyeto

    Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K. Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto. Juzi imevuja clip ya Drake...
  10. Engager

    Wanawake walio ungua mkorogo (cream) uwa hawalipi madeni.

    Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
  11. Engager

    Je, mzazi wako alishiriki kwa kiasi gani kuua ndoto zako?

    Je, Lilikuwa ni kosa lake au mfumo wa maisha ndio ulimfanya awe hivo?
  12. Engager

    Unaweza kuielezea vipi hii kitaalam?

    Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
  13. Engager

    Ni bahati mbaya sana kwamba tunaongozwa na wanasiasa

    Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo. Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana. Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo. Nchi, Taifa, Taasisi nyeti kabisa...
  14. Engager

    Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  15. Engager

    Utamfanya nini mwanamke huyu?!

    Kakubambikia mimba Kakubambikia mtoto Umeshindwa kuprovide child support Kakushitaki Umefungwa miaka 5 Umetoka Umekwenda partenity court Imethibitika mtoto si wako Naye anakiri anamjua baba wa mtoto Utamfanyanini mwanamke huyu?!
  16. Engager

    Kwa wazazi, walezi na wanafunzi mliochaguliwa kujiunga kidato cha 5

    Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla. Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
  17. Engager

    Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  18. Engager

    Dada zangu, mtatoboa kweli?

    Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' . Huko mbeleni...
  19. Engager

    Kama lilikosekana Jina zuri la 'Bone Marrow' katika kiswahili, bora lingetoholewa hilo hilo la kingereza

    Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
  20. Engager

    Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
Back
Top Bottom