UGENI WA TBC SAFARI CHANNEL MAKTABA
Leo asubuhi Maktaba ilibahatika kupokea ugeni kutoka TBC Safari Channel watayarishaji na Warushaji wa vipindi vya historia.
Walinifahamisha kuwa wapo katika...
Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution....
Case yenyewe...
Katika Miaka ya 2000 Raia wengi kutoka Jamhuri ya Dominika walikuwa wanakimbia nchi yao kuelekea katika nchi ya marekani na Puerto Rico kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri.
Kwahiyo haikuwa jambo...
Hii ni mada ya mtiririko wa matukio ya kidunia yasiyo ya kawaida, yaliyohifadhiwa toka vyanzo mbalimbali kwa njia ya picha, maandishi ama vyote viwili.
Lengo kuu ni kupanua ufahamu wa wale wote...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA
Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za...
UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA.
Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
KUTOKA VITA VYA MAJI MAJI 1905 HADI KUUNDWA KWA TANU SOUTHERN PROVINCE 1955
Vita Vya Maji (1905 - 1907) ndiyo kielelezo cha juu kabisa kuonyesha unyama wa Wajerumani kwa wananchi waliosimama...
Kumekuwepo maswali ya watu wengi wakitaka kujua ASILI ya JINA la TANGANYIKA.
Ili kuweza kuhakikisha mjadala unakuwa endelevu na msomaji anapata majibu sahihi, tumeonelea ni vema kuweka mjadala...
KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA?
Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma...
Jamani huyu mheshimiwa yuko wapi? Mbona kimya.
Hata hashirikishwi kwenye issue za CCM kulikoni?
KAWAWA sometimes huwa anashirikishwa why not JUMBE? Or is there any wrong doings alizofanya au he...
Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi:
Mzee Sayore alikuwa anafuga ng'ombe wengi pamoja kufanya shughuli za...
By Shusa Luck
Historia fupi ya Taiwan
Historia ya awali, Era ya kisasa, na Kipindi cha Vita vya baridi
Ikopo maili 100 kutoka pwani ya China, Taiwan imekuwa na historia ngumu na uhusiano na...
Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe
Basi inaendelea kama ifuatavyo;
Baada ya Mfalme...
THOMAS PLANTAN AKIZUNGUMZA KIJERUMANI KATIKA KUMUADHIMISHA PAUL VON LETTOW VORBECK
Hiyo video nilipoipata niliipeleka Zentrum Moderner Orient, Berlin kwa rafiki yangu Prof. Kai Kresse na nikampa...
HISTORIA YA HERMANN VON WISSMANN KATIKA VITABU VYANGU VIWILI
Tuanze na sanamu ya Hermann von Wissmann.
Picha na maelezo hayo hapo chini nimeyatoa mahali katika mtandao na nimefanya uhariri...
HISTORIA ZILIZOJIFICHA KATIKA KARATASI ZA BARUA
Picha ya kwanza hapo chini ni Mamboleo Rashid Makoko, picha ya pili ni Julius Nyerere na ya tatu ni Chief Michael Lukumbuzya wa Ukerewe.
Historia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.