Waislam na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

yaani kati ya wazee niliowadharau na ambao hawana faida hapa nchini, wa kwanza anaweza kuwa huyu. hajawahi kuwaza kingine chochote zaidi ya udini na chuki kwa wakristo. ameshazeeka na hana lolote zaidi ya udini. hata wajukuu zake sijui watarithi nini.
Yes...
Umedharau vipi ilhali umeingia kwenye post yangu?
 
Mzee wangu ni mdini sana

Ova
Mrangi,
Hili nimelijibu mara nyingi na naamini jibu unalijua.

Ningekuwa mdini nisingeshirikishwa katika miradi ya uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika na historia nyingine katika Afrika.

Ningekuwa mdini JF wasingeniadhimisha kwa kuwa Mwandishi Bora mara mbili.

Na mengine mengi.
 
yaani kwamba wewe ni mwandishi bora? dah, mwandishi bora. na wewe unaamini u mwandishi bora?
 
yaani kwamba wewe ni mwandishi bora? dah, mwandishi bora. na wewe unaamini u mwandishi bora?
Yesu...

1714646433198.jpeg

1714646512509.png

1714646577676.jpeg

Executive Director JF Maxence Mello akinikabidhi cheti nyumbani kwangu na zawadi ya simu
Yesu...
Anayeamini ubora kwa kalamu yangu ni nani?
Mohamed Said au JF?

Hadi sasa nimepokea jumla nishani tano.

Tatu nimetunukiwa na taasisi za Kiislam ya mwisho Mwezi wa Ramadhani iliyopita.

Hunifahamu.
Umefanya haraka.

Ungechukua muda wa kutaka kunijua kwanza:

1714647072207.png

Mrangi,
Hili nimelijibu mara nyingi na naamini jibu unalijua.

Ningekuwa mdini nisingeshirikishwa katika miradi ya uandishi wa historia ya uhuru wa Tanganyika na historia nyingine katika Afrika.

Ningekuwa mdini JF wasingeniadhimisha kwa kuwa Mwandishi Bora mara mbili.

Na mengine mengi.
Mzee wangu,jana sijakuona kwenye msiba wa mzee andanenga,au ulikuwepo sikutupia macho vizuri

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom