Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,732
- 699,342
Hii ni mada ya mtiririko wa matukio ya kidunia yasiyo ya kawaida, yaliyohifadhiwa toka vyanzo mbalimbali kwa njia ya picha, maandishi ama vyote viwili.
Lengo kuu ni kupanua ufahamu wa wale wote wanaoependa kufahamu matukio ya kidunia yaliyopita ambayo hawakupata nafasi kuyaona ama kuyasoma huko kwingine
Credit zote zitaenda kwa wahusika kwa maana ya wahusika wenyewe, waandishi, watafiti, na wahifadhi wote ambao matukio husika yataonekana hapa
Lugha zitakazotumika ni mbili kwa maana ya lugha yetu ya Taifa Kiswahili na lugha rasmi ya mawasiliano na wageni Kiingereza... Kupitia lugha mbili hizi pia wasomaji watapata wasaa wa kupanua ufahamu wao na kujifunza misamiati mipya
Hapa kupitia mada hii pia mdau yoyote anaweza kuuliza swali lolote linalomtatiza kuhusiana na kumbukizi za kidunia kwenye nyanja za kisayansi, ufundi, historia, afya, uvumbuzi ushirikina nk nk
Tuanze na hii hapa: chanzo mtandao wa Meta.
Mwaka 1928 huko New York Polisi alisimamisha magari ili Paka aliyekuwa amebeba mtt wake mdomon aweze kuvuka kwa usalama.