Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

Huyu Kocha Smart Sana Hana Historia Ya Kufukuzwa Yeye Huwa Anajiuzulu.

Kipindi Yupo Morocco Alijiuzulu Ya Kupoteza Game Muhimu, Kwa Aliowapa Kombe La Shirikisho Mwaka Jana Alijiuzulu Baadae Ya Kuzomewa Na Mashabiki.
 
Simba ni ya benchika, mpk itakapo chukua ubingwa wa Africa msimu ujao ndo mtakubali, msichokijua ni kuwa benchika amekuja simba kimkakati na asingeweza kuchukua kombe coz simba ilikua mbovu, ngojeni dirisha la usajili lifunguliwe ndo muone.
Kichwa kibovu.
 
Kocha anataka watu wa maana unamletea Jobe na Fred. Dirisha lijalo na sikia Inonga na Che wanaamsha. Ukitaka kujua uongozi wenu ni kimeo ni kipindi kile walipo waletea Manzoki kwenye uchaguzi, ili wapate kura zenu na mlivyo wajinga mkawapa.
 
Kama na wewe umegundua makocha wengi wanatimka timu inapokua zanzibar weka like yako hapa.
 
Kaomba mbali sana Kuna mtego mbaya viongozi wa Simba wameingia dhidi ya Azam kesho wanapigwa vibaya mno Kisha kwenye ligi watapigwa tena vibaya mno huu ulikuwa mtego hawakupaswa kujaa kijinga
Wanakoleza moto.Hii aibu walipaswa kuikwepa.
 
Nyie vyura...kocha anatakiwa avumilie ajenge timu sio kuogopa.....
 
Back
Top Bottom