Abdelhak Benchikha (Arabic: عبد الحق بن شيخة; born 22 November 1963) is an Algerian football coach and former player, Benchikha recently left Simba Sports Club due to family reasons.
Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada...
Amani iwe nanyi.
Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule.
Tatizo...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.
1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.
Pia soma:
Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
----...
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu.
Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote ya Simba kusonga mbele badala yake wao Simba wanasonga ugali na dagaa Zanzibar.
Benchikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya wachezaji aliopewa aende nao vitani. Pili nikaja kuongelea athari za kurithishwa migogoro kati ya...
Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani.
Hili limekuja baada ya kocha la makombe benchikha kugoma kurudi katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya mchezo, ambapo...
Siyo Siri Tena usajili wa Jobe &Fred huu ni usajili wa mtu kati (wazee wa 10%) na siyo maagizo/mahitaji/matakwa ya kocha Bali ni wachezaji wa kikundi Cha viongozi pale Simba sc.
Alichokifanya kocha Benchikha kwenye mchezo wa Simba sc vs Al ahly ni kuwaweka benchi wachezaji Kisha kuanza na...
Mkuu wa msafara wa Al Ahly Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak Benchikha.
Al Ahly inatarajiwa kuvaana na Simba SC keshokutwa Ijumaa Machi 29 kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly.
Je mmesahau kuwa Kocha Robertinho aliifunga Yanga Sc akiwa na Vipers sc na timu ya Simba sc...
Benchikha hawezi kufanya kazi na timu yenye wachezaji wa kuungaunga kama Simba. NIna uhakika kuwa Benchikha hana furaha na anajuta kuchafua CV yake kuja Simba.
Ahmed Ally amesema kuwa Benchikha ameenda kusoma, amedanganya? ANaweza asirudi tena?
Wakati Deportivo de Utopolo wakijiandaa kukipiga dhidi ya C.R Belouizdad, tujikumbushe kauli moja ya Super Coach, Abdelhak Benchikha alipokuwa anafundisha USM Algiers.
Benchikha alitoa kauli hiyo wakati USMA walipokuja kucheza na Deportive de Utopolo katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe...
Nani anabisha?
Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba
Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema ili kumshawishi kuweza kuingia katika kikosi chake akiwemo nyota Moses Phiri.
Phiri tangu kuanza...
Benchikha ni mtu flani anayekasirika haraka na asiyeweza kubeba maumivu, kejeli, dhihaka moyoni mwake.
Ni mtu fulani asiyemvumilivu na mpenda mafanikio kwelikweli, ni wachache tumeweza kumsoma kwa haraka kupitia trends ndogo ndogo hapo msimbazi.
Mfano, ishu ya chama na reaction yake, kuna kitu...
Baada ya kukiangalia kikosi cha timu yake, Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha, ni kama ametoa angalizo kwa viongozi wa klabu hiyo kuwa makini wanapoenda sokoni kipindi cha dirisha dogo la usajili kulingana na aina ya wachezaji aliokuwa nao kwa sasa.
Kauli hiyo imekuja baada ya mchezo wa...
"Benchikha mchezaji yoyote atakae mtaka tutampa"
Hayo ni maneno ya Try again akizungumza na waandishi Habari lakini katika jicho la tatu ni maneno ya kufikiria sana na yanayoleta maswali mengi.
(1) je kocha Robertinho alipewa uhuru huo wa kuchagua/kununua wachezaji Kama thamani anayopewa...
Ujio wa Kocha Benchikha pale Simba ulitakiwa uambatane na kufungua ukurasa mpya wa mashirikiano kwa kila mmoja pale Simba hasa kati ya wachezaji na viongozi achilia mbali mahusiano kati ya viongozi kwa viongozi.
Baadhi ambao tunajua jinsi migogoro ndani ya taasisi hizi za waswahili zinavyokuwa...
Wakuu ukweli usemwe hata kama ni mnazi wa club husika, Kwa usajili wa kocha Benchikha kuja Simba naona ni hasara au kutumia pesa vibaya japo in anyway sihusiki kumlipa
Hakika hii ni hasara kubwa kabisa ngoja tuone
Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake.
Simba imesogea pakubwa sana katika mpira wa Afrika. Leo hii hakuna anayeshangaa tena Simba akimfunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.