TISHIO la ugonjwa wa Corona limesababisha Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akabidhiwe kadi ya uanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimya kimya, bila kuwepo shamrashamra zozote kama ilivyozoeleka.
Akizungumza jana katika hafla fupi ya kumkabidhi kadi mwanachama huyo, Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe.
Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu 10-15 wamwanzo ndiyo watabeba nyama zote. Unakuta mtu amepanga nyama kama mlima Kilimanjaro...
Hili ni pendekezo tu.
Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake.
Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara...
Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.
Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu...
Kichwa cha uzi kinajieleza chenyewe.
Si kauli yangu bali ni ya mwanasiasa machachari kabisa mh Zitto ambayo kaitoa leo kupitia ujumbe wake wa twitter akimjibu JPM kuhusu kuhusika kwa TISS katika utekaji.
Ni kauli nzito ambayo inahitaji mikakati mizito sana kivitendo (NEC huru, nk) ili azma...
Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.?
Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu.
Kama ni...
Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk
Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo.
Karibuni!
Up dates;
Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
Hivi Kwa nini siku hizi Wadada wetu wanapenda kujisendoff kutoka Kwa familia yao hata kabla ya Muda kufika? Je ni kutokana na Utandawazi? au Mihemuko ya Mungiliano wa Uhuru Jinga?
Mifano Michache kwa nini wewe binti unasoma certificate lakini unaamua kuhama nyumbani kwa wazazi wako unaamua...
Enzi za Nyerere sijaziishi ila skukuu za kuazinzia awamu wa mwinyi hadi kikwete siku hizi zilikuwa na vurugu nyingi wananchi walistarehe sana.
Kwa mkoa wa Dar mitaa kama Sinza ilikuwa shangwe la hatari, kila rafiki ukimpigia amelewa chakari au wasio tumia kileo yuko mahotel makubwa leo...
Mwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa Kilimanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine ninaowafahamu ambao...
Katika baadhi ya mikoa kusini na Pwani ya Tanzania, suala la binti kupatiwa mafunzo maalumu ya kimila ni desturi ambayo si ngeni, wao wanaita kumtoa Mwali.
Utamaduni huo ujumuisha wasichana kuwekwa ndani kwa muda wa miezi kadhaa kwa ajili ya kufundwa na wataalamu wa masuala hayo.
Jambo hili...
Nimejaribu kuangalia majina na video za wafungwa katika baadhi ya magereza nchini waliopata msamaha wa Rais Magufuli katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika lakini kitu kinachonifanya nishangae ni kukosekana kwa wafungwa wa kike!
Je, Tanzania hakuna wafungwa wa kike? Kama wapo, kwa nini...
Nchi yeyote inayothamini Uhuru wake huadhimisha siku iliyopata Uhuru huo kutoka kwa wakoloni weupe au weusi kwa shangwe kuu iliyotukuka , hii ni siku ambayo nchi husika husherehekea minyororo ya utumwa kukatwa , nchi zilizopambana kupata uhuru huo kwa vita , huwakumbuka mashujaa wao waliokufa...
Habari wadau! Tukutane hapa kujua yanayojiri leo mwanza kwenye mahadhimisho ya miaka ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika:
Update: Majeshi mbalimbali ya gwaride yanaingia uwanjani.
Updates: Waziri mkuu na rais wa Zanzibar wanaingia uwanjani pamoja na makamu wa rais
Leo nawaona wanajeshi toka...
Ccm ina viwanja vimetapakaa nchi nzima, lakini vingi vina hali mbaya. Chama chetu hakina fedha za ukarabati.
Viwanja kama CCM Kirumba, Kaitaba na vingine vingi, kabla ya mfumo wa vyama vingi, tulitegemea fedha za serikali.
Kwa sasa njia pekee ni kuhamishia sherehe za kitaifa katika viwanja...
Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza?
Nasubiri majibu yenu Wakuu.
A Kenyan family in the United Kingdom is mourning the death of their son, who was stabbed to death in East London on Saturday.
Randy Mugo, 27, was knifed at a friend’s house party after what started as a row over a spilt drink.
The scuffle degenerated into a quadruple stabbing, which left him...
Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani.
Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.