Tanzania yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola
Wizara ya Afya nchini Tanzania imewashauri wananchi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ebola siku moja baada ya nchi jirani ya Uganda kuthibitisha mlipuko mpya wa virusi vya ugonjwa huo.
Naibu Waziri wa afya Dk Godwin Mollel...
Michelle De Pacina
Mvulana mwenye umri wa miaka 10 amekamatwa nchini China kwa kumweka nyanyake kwenye kitanzi cha kichwa na kumnyonga hadi kufa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, bibi huyo anaonekana akimpiga mvulana huyo mara mbili kichwani kabla ya kumpiga ngumi ya kifua na kumshika...
Dr. Mwaka amjibu Shekhe wa Mkoa wa DSM
Dr. Mwaka amesema kuwa watanzania siyo wajinga na wanayofanyiwa wanayaona, Masheikh wachafu na wasafi wapo na watanzania wanawajua. Ushahidi wa Masheikh hawa wachafu, watanzania wanao na hata yeye Mwaka mwenyewe anao pia.
Akasema kuna watu ambao kwa...
Mwanamke mmoja ameshindwa kuzuia hasira zake baada ya kudai kupigwa ngumi ya usoni na mchungaji wakati akimuombea.
Katika video iliyopostiwa kwenye Mtandao wa TikTok, mwanamke huyo anaonekana akiongea kwa hasira kwamba mchungaji alikuwa akimuombea na kumpiga ngumi kwa uchungu usoni kama njia ya...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dodoma juzi. Wengine kuanzia kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), Innocent Bashungwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na wenye...
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
Huko nchini Papua Guinea kuna kabila linaitwa Dani ambalo mwanaume anapotaka kuoa, sharti akate kidole chake cha mkono wa kulia na kumpelekea mkewe mtarajiwa kama sehemu ya mahari na upendo wake wa dhati kwake.
Na kama mwanaume anataka kumpa talaka mkewe, pia ni sharti akate vidole vyake viwili...
Vita Ukraine Haiwezi Kuisha kwa Kuipuuza Urusi, Jumuiya za Kimataifa Zitambue Hilo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Edorgan akiwa na Rais wa Urusi Vladimir Putin jijini Moscow
MSAIDIZI Mkuu wa Rais wa Uturuki amesema kuwa jumuiya ya kimataifa haiwezi kumaliza vita nchini Ukraine kwa kuipuuza...
Tunaburudika tukiwa mbali na nyumbani, tunapuuzilia mbali kutumia simu ya rununu kwa muda na tunapoangalia mfukoni, begi au mahali tulipoiweka, haipo tena.
Wezi wanaweza kuwa na ujuzi mkubwa wa kuiba simu za mkononi kwa kipindi kifupi tu.
Mbali na kutufanya tujisikie vibaya, wizi wa simu za...
Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema.
Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden ametoa matamshi kadhaa ambayo yameonyesha kuongeza joto uhusiano kati ya Marekani na Urusi.
Hata hivyo, maneno yake ya mwisho katika ya hotuba inayotajwa kama "hotuba kubwa" nchini Poland siku ya Jumamosi - yanaoonekana kumtaka...
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi.
=====
DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
Wakuu sijui huyu waziri ana shida gani. Alikuwa very promising kule wizara ya mazingira. Lakini tangu aletwe huku wizara ya nishati imekua ni kituko baada ya kingine.
Kulikuwa hakuna tatizo la kukatika umeme kipindi chote cha magufuli. Ila baada ya tu ya January kuletwa huku umeme ukaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.