madam b

Madam Secretary is an American political drama television series created by Barbara Hall. It stars Téa Leoni as Elizabeth "Bess" Adams McCord, an ex-CIA analyst who becomes the United States Secretary of State. Madam Secretary was ordered to series in May 2014, and premiered on September 21, 2014, on CBS.During the course of the series, 120 episodes of Madam Secretary aired. Madam Secretary was renewed for a sixth and final season in May 2019, which premiered on October 6, 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mike Tyson amrushia ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya kurushiwa chupa

    Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema. Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maswali magumu aliyoulizwa Rais Samia ya Mwandishi wa BBC

    Maswali Magumu aka Hard Talk aliyoulizwa Mama Rais Samia Suluhu.............. Download 720 Download 720 Download 720
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    SI KWELI: Serikali haijasitisha somo la Historia ya Tanzania

    Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI. Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya taarifa hizi. Tovuti inaeleza kuwa vitabu vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa...
  4. Erythrocyte

    Freeman Mbowe afanya Misa ya Shukrani Kanisani. Asema aliomba mashtaka yasifutwe ukweli udhihirike

    Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu. ========= Freeman Mbowe: Leo nimewaona wakristo wenzangu, sikusudii kuzungumza mengi zaidi ya shukrani. Nimepata hofu sana na hofu kubwa...
  5. John Haramba

    Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ushuhuda wenye funzo kwa wanawake *Majuto ni mjukuu*

    MAJUTO NI MJUKUU Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata siku moja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi saa...
  7. K

    Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

    Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mlipuko wa maradhi ya homa ya mapafu corona virus duniani kote

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1. Wahi kununua Mask kwa familia, mlipuko ukianza hizo Mask hazitaweza kupatikana kiurahisi 2. Nunua...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mnanipa ushauri gani kuhusu huyu mbwa?

    Aka kambwa toka nikanunue hakabweki kabisa! sijui Tatizo litakua nini wadau
Back
Top Bottom