inahitajika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Bima ya Afya kudumu inahitajika kwa watu wenye magonjwa sugu

    Kuna magonjwa mengi sugu ambayo kwa kweli yamekuwa tishio lakini binafsi nimeona ni vyema kugusia kwanza upande wa figo, hasa upatikanaji wa matibabu yake na huduma zake. Iko wazi kuwa mpaka sasa hapa Tanzania, asilimia takribani 7% ya watanzania wanasumbuliwa na tatizo la figo na wengi wao...
  2. RIC WA KISHETI

    Gearbox ya Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD inahitajika

    Wasalaam waungwana. Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK Nipo Dar es Saalam. Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua. Natanguliza shukrani
  3. Language Therapist

    SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
  4. MfanyakaziHewa

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5 Niko Sumbawanga Rukwa
  5. D

    GPA ya ngapi inahitajika kupata tutorial assistant

    Nilikua nauliza ni GPA ya ngapi inahitajika kua shortlisted kwenye interview za tutorial assistant katika vyuo vya umma
  6. George Betram

    Mifuko ya viroba inahitajika

    Habari? Nahitaji mifuko ya viroba (kilogram 50). Nipe connection, kama muuzaji yupo nicheki tufanye biashara.
  7. Meneja Wa Makampuni

    Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  8. Financial Analyst

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  9. covid 19

    Store inahitajika sm 18 to 25

    Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
  10. K

    Tractor ford 6000 four wheel drive inahitajika

    Marry Christmas to you all!!! Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive. mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana atakuja. Mawasiliano:0786595669/0759096558
  11. GoldDhahabu

    Mbegu ya dragon na kiwi inahitajika

    Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake. Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali. Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu. Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  12. R

    Asali inahitajika

    Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
  13. R

    Nahitaji asali kwa wingi, anayeuza tuwasiliane

    Habari za leo, Inahitajika asali; mwenye kufahamu wapi inapatikana kwa wingi hapa Tanzania, na bei tuwasiliane PM.
  14. K

    17 MLN Subaru Forester XT Namba E inahitajika

    Habari, Tafadhali husika na kichwa cha habari. Kwa mawasialiano zaidi njoo WhatsApp 0742666736
  15. mshamba_hachekwi

    Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
  16. kifii sheria

    Typing tutor inahitajika

    Tafadhali, kwa mwenye typing tutor iliyo bora kama Mavic Becon au nyingine yeyote naomba tuwasiliane. inahitajika haraka sana. thanks.
  17. hermanthegreat

    Usharuri inahitajika : Kati ya MD na Dental surgery kozi ipi asome.

    Hello Wana jf, Mshikaji wangu anapitia wakati mgumu akiwaza kozi ipi asome. Amehitimu kidato Cha sita mwaka huu PCB na ana division one ya point 6 yaani BBB. Ipo wazi Muhimbili MD hapati lakini huko ameomba Dental surgery,. Zaidi ameomba Medical doctor (MD) udsm. Na vipi pote akubaliwe kozi ipi...
  18. Tachu hano

    Pikipiki ya Boxer au TvS inahitajika

    Pikipiki Boxer or TVS inahitajika iwe katika condition nzuri Location: Mwanza NB: Isiwe mbovu, na pia kama una brand nyingine kama Honda na bei reasonable nicheki.
  19. W

    Gari kama hii au kama hii inahitajika

    Gari inayofanana na hiyo picture au Kama hiyo inahitajika. Phone 0717371028. Karibuni Sana.
  20. big dreamer

    Gari aina ya Nissan Dualis inahitajika number E

    Mwenye gari dualis number E anichek PM. Pesa ipo mfuko wa shati NB: Madalali wenye tamaa hapana
Back
Top Bottom