dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwiba1

    Biashara ya dhahabu

    Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo: 1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa kuchimbisha wala kununua mawe labda yawe makali sana yanayoweza kunirudishia gharama. 2. Ningependa nje ya...
  2. E

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

    Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho. Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya hewa ya asili ya sehemu husika. Katika kipindi cha mvua ,hali ya hewa ya mawingi huchangia kufanya...
  3. Dr am 4 real PhD

    Makamba aja na kitabu "Cha kale Ni dhahabu"

    "Niwakati tulipokuwa mafunzoni Monduli Machi, 1976 hadi Januari, 1977 ndipo nilipomfahamu vizuri Yusufu Rajabu Makamba na tukawa marafiki tangu wakati huo mpaka sasa. Nikatokea kuutambua vizuri uwezo wake wa uongozi. Nilivibaini vipaji vyake adimu vya kuhamasisha, kuunganisha watu, kujieleza na...
  4. Pdidy

    Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

    Mpira ni anasa kweli kweliii. Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki. Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
  5. MINING GEOLOGY IT

    Bahati Kubwa! Ugunduzi wa Madini ya Dhahabu na Copper Yenye Thamani Kubwa: Mgunduzi ni Mining geology IT

    "Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper katika ardhi ya Tanzania. Eneo hili lenye hekta 20 limegunduliwa kuwa na kiwango kikubwa cha...
  6. Sangatitti

    Kizazi cha 1990s ndo kizazi cha dhahabu cha watu wanaojitambua

    Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
  7. MINING GEOLOGY IT

    Makundinyota ya dhahabu ya mesothermal

    Madini ya dhahabu ya mesothermal ni mifumo ya kijiolojia yenye kuvutia ambayo hutokea nusu ya njia wakati wa kupanda kwa vilivyoyeyuka kutoka kwa ganda la ndani lenye mishipa ya mesothermal kuelekea uso wa Dunia, kawaida hupatikana kina cha zaidi ya kilomita 1 hadi chini ya kilomita 10. Katika...
  8. MINING GEOLOGY IT

    Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  9. Melubo Letema

    Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

    Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China. Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
  10. A

    Kwa sasa Wawekezaji wengi wanawekeza kwenye chakula na sio kwenye dhahabu. Tuwe waangalifu na mikataba ya kujifanya wanakuja kutufundisha

    Don’t miss: Gold has long been considered the ultimate safe-haven asset, but a growing number of investors are now turning to farmland for better returns and greater protection against inflation. See how farmland is becoming easier than ever to invest in. AgroTerra, founded in 2008, is a major...
  11. MINING GEOLOGY IT

    kwa nini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia":

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  12. MINING GEOLOGY IT

    Kwa watafiti wa madini na wachimbaji wa madini ya dhahabu kutambua jiolojia ya epithermal

    "Epithermal" ni neno linalotumiwa katika muktadha wa jiolojia na uchimbaji wa madini. Linahusu aina fulani ya mazingira ya kijiolojia ambayo madini hukutwa. Katika muktadha wa uchimbaji wa madini, epithermal inahusishwa na mchakato wa kijiolojia ambapo madini yanayotafutwa, kama vile dhahabu na...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  14. N

    Msaada kama naweza kununua dhahabu iliyochomwa

    Naomba kuuliza wakuu, Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo 1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi 2. Mtaji ni kiasi gani? 3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi? Kwa...
  15. MINING GEOLOGY IT

    Makinikia kwa wachimbaji wa dhahabu

    Aina ya jiolojia MAGNETITE GRANITOIDE META SEDIMENTARY COMPLEX mara nyingi uleta changamoto kwa wachimbaji wengi wadogo wa madini na ujikuta wakati mgumu katika uchimbaji wa kutafuta madini. muelekeo wake wakupata viashiria vyake ambavyo utokea kwenye Magnitite. je Magnitite ni nini ...
  16. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  17. ChoiceVariable

    Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi

    Watu 10 wamekamatwa Jijini Mbeya Wakitorosha Madini ya Dhahabu kilo 9.5 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na kuisababishia Serikali hasara. Waziri wa Madini Antony Mavunde ameagiza Kamishna wa Madini kufuta leseni za watu hao popote pale ndani ya Nchi.Tukio hili la utoroshaji limekuwa ni la...
  18. Pinda Nhenagula

    Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

    Habari za wakati huu wanajulkwaa. Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%). Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa...
  19. K

    Je inawezekana kuweka fixed deposit ya dhahabu benki

    Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara yeyote(risk)?. naomba ushauri.
  20. Mganguzi

    Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
Back
Top Bottom