chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Vichekesho

    Kisa cha Chumvi na hatma yangu shuleni

    Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya muda mfupi mwanamke mwingine kaja na kutaka kuweka chumvi nyingine, ndipo nilipo sahau kabisa kuwa...
  2. P

    Unafahamu Nini kuhusu chumvi?

    Unafahamu Nini kuhusu chumvi ?? Je chumvi inasaidia nini Katika Maisha ya binaadamu ?? Ukiachana na matumz ya jikon Wewe unafahamu Nini kuhusu chumvi ??
  3. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Tanzania haijawaji kukumbwa na uhaba wa chumvi?

    Nimeshuduia mara kadhaa nchii ikiingia kwenye uhaba mkali sana wa sukari na bei kupanda juu sana. Sasa je, ni kwanini uhaba huu haujitokezi kwenye chumvi? Je utoaji wa vibali vya kuagiza chumvi ni tofauti na utoaji wa vibali vya kuagiza sukari? Je, viwanda vya chumvi nchini vina ufanisi...
  4. U

    Chumvi inalabwa sana vyumbani, kuna haja ya kuzileta kondom za ulimi kuzuia maradhi

    Kujilinda sio kwenye kupiga kavu tu, kwa huu mchezo unavyozidi kujipatia umaarufu tafiti zimeonyesha kuna wanaopata magonjwa ya vinywa na makoo, ni muhimu kuanza kuchukua tahadhari
  5. Webabu

    Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

    Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai. Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu...
  6. MSAGA SUMU

    Mugumu huwa hatuweki chumvi kwenye chakula mpaka tumalize kuzika

    Naaam, Msiba ukitokea katika jamii za watu wa Mugumu, basi hapo msibani watu watakula chakula kisichokuwa na chumvi mpaka siku marehemu atakapohifadhiwa ndio tutarudi kwenye utaratibu wa kawaida. Labda ikitokea mwili ukakaa mochwari miezi miwili, basi tutakula chakula miezi yote miwili bila...
  7. F

    House4Rent 2 bedroom house inapangishwa Tabata Kisukulu (Maji Chumvi) karibu na Ubungo External 250,000

    Habari wadau. Appartment ya vyumba viwili vya kulala. Sebule jiko na choo inapangishwa maeneo ya tabata kisukulu. Ni 3km ukitokea Mandela Road EPZA ama TFDA office ubungo external. 1. Nyumba ipo ndani ya fence na kuna geti. Parking ipo ya gari ndogo 2. Umeme na maji inajitegemea 3. Vyumba...
  8. Mwizukulu mgikuru

    Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  9. Baba jayaron

    DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Wasalam, Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu. Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi? Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali...
  10. Raia Fulani

    Yani tuna import hadi chumvi?

    Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga? Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo: 1. Maji 2. Chumvi...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkuu, Majaliwa aagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi, kuzalishwa Chumvi yenye Ubora

    Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi #Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu Ruangwa - Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewaagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi nchini kuzalisha...
  12. Bob Dylan

    Je chumvi huzuia mvua ?

    Wanajamvi habarini, nimekutana na kisanga kutoka kwa dada wa kazi, yeye ni mzaliwa wa Dodoma na alikuja kufanya kazi nyumbani kwangu hapa Chugastan. Siku moja tumeanika maharage baada ya kuvuna na tukaona kuna dalili za mvua mvua vimanyunyu kwa mbali tukaanza kutapa hofu kwamba mvua inaweza...
  13. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yapiga Marufuku Kuingiza Malighafi ya Chumvi Kutoka Nje kwa Viwanda vya Ndani

    SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI "Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo lenye ukubwa wa Hekari 168 katika Wilaya ya Kilwa kwaajili ya wawekezaji Wenye nia ya kuchakata...
  14. Roving Journalist

    Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
  15. Nyendo

    Chumvi iliyozidi kwenye chakula ni hatari kwa afya, wapishi tuwe makini

    Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza ikiwa imepungua au kuchovya chumvi wakati wa kula kama maembe mabichi nk. Mzunguko wa maji mwilini...
  16. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  17. agudev

    Madaktari na wataalamu wa chakula, kwa nini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  18. luangalila

    Chumvi kupanda bei kuanzia kesho, Aprili 15, 2023

    Tukiwa tumebakiza Juma moja kuelekea sikukuu za Eid,sasa kuanzia kesho bei ya Chumvi inakwenda kupanda bei Wanapoelekea majirani zetu sasa hata sindano za kushomea zitapanda bei ===== The price of salt is set to increase from tomorrow, April 15 as indicated in a memo by a salt manufacturing...
  19. Kinoamiguu

    Mwita Waitara, jiwe la chumvi

    Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa...
  20. BARD AI

    Ripoti WHO: 73% ya Nchi duniani hazina Sera ya kupunguza Matumizi ya Chumvi, Vifo Milioni 5 vinatokea kila mwaka

    Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%. #WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
Back
Top Bottom