Search results

  1. Mayor Quimby

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekunde kadhaa ameonekana akibubijikwa...
  2. Mayor Quimby

    What would Magufuli do?

    https://m.youtube.com/watch?v=Kt2cRzvcbEk Ni shida mashirika ya umma 1….TFC (msambazaji wa mbolea) Kampuni ambayo alipewa ruzuku ya billlioni 700 juzi tu; ili auze mbolea kwa wakulima kwa bei ndogo ila sio chini ya bei ya soko leo unaambiwa hana mapato, Hela za pembejeo zimeenda wapi ndio...
  3. Mayor Quimby

    The Devils advocate

    Japo niliaga wiki kadhaa na hiyo bado ni nia yangu hila dunia imesogea sana. Binafsi sina shida ya kukosolewa, but also nimechoka kusoma ujinga. Asilimia kubwa ya watu awawezi kuandika hoja; it has nothing to do with grammar but the merit of the argument. Washindi wa mashindano ya JF hata...
  4. Mayor Quimby

    Bye JF

    To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo. Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa. Mengine mtanisikia, baada ya kujutafakari nimekubali mipango yangu hipo huku kijijini. Tanzania willl forever be in my heart...
  5. Mayor Quimby

    Nini tofauti ya ‘surveillance na intelligence services’

    Jifunzeni hayo mambo na tofauti ya sifa za hao agents. Kuwasaidia Surveillance entails techniques to gather information (know how skills, are involved). Intelligence entails being able to interpret surveillance information and make decisions (kawaida huo ni mchezo wa watu wenye akili). Uwezi...
  6. Mayor Quimby

    Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

    Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa. Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate. Masai hataki kuelewa, yeye nani. Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
  7. Mayor Quimby

    Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  8. Mayor Quimby

    Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...
  9. Mayor Quimby

    Katiba ya Samia

    Katiba ya Warioba ilikwama kwa sababu mbili; Moja: Masharti ambayo utekelezaji yanahitaji mapato mengine. Pili: Masharti ya muungano ambayo CCM isiyoweza vumilia isipokuwa kwenye kuvunja muungano tu. Katiba ya Samia: Wala usipoteze muda wako; yote ya awali ndio yale yale. Ziada ni yeye...
  10. Mayor Quimby

    Usalama wa Taifa mmejifunza nini kwenye sakata la bandari?

    Hii vita nani kashinda information war kuishawishi jamii kwenye ukweli wa IGA. Intelligence ni mchezo wa watu wenye akili. You actually need clever people to manage information war; na hii vita wapotoshaji wameshinda kwa sababu hakuna waelevu serikalini. Kupita kwa IGA kwa wanaofuatilia hilo...
  11. Mayor Quimby

    Somo kwa serikali: Mtaala wa ‘The Law of Contract’ unapwaya

    Nimesikiliza wanasheria wengi wakidadavua huo mkataba, hawana viwango wa kuingia mikataba kwa niaba ya serikali. Kwa kuanzia tu hakuna mkataba usiokuwa na stabilisation clause. Hakuna mkataba wa kimataifa usiokuwa na sehemu neutral ya kutatua mgogoro; hiko kitu hakipo. Wengi hawajui processes...
  12. Mayor Quimby

    Senior Civil Services Posts ni serious posts

    Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo. Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi sio watu wa mchezo kabisa wana technical skills za hizo sector au wizara wa hali ya juu. Kwanini...
  13. Mayor Quimby

    Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

    Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube. Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell...
  14. Mayor Quimby

    Tanzania ya ajali za barabarani

    Kuna mtu aliweka mada ya Rish Sunak kupigwa fine na jeshi la polisi huko kwao kwa kutokufunga mkanda. Bongo hawa ma-celebrity wetu wana chat live sio na mtu mmoja bali mashabiki wao huku wanaendesha magari na clip zinatambaa mitandaoni, polisi wala hawana habari. Kwanini kila siku kusiwe na...
  15. Mayor Quimby

    Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  16. Mayor Quimby

    Pick your poison

    Kitendawili? Tega. Hivyo sio nchi invyoendeshwa kisayansi, Haijalishi chama kinamuweka nani kileleni kwenye nchi ambayo zina civil services zilizo imara (na ya kwetu ovyo). Mweh, acha tu kwanini uumie. Unaweza tumia muda mwingi kutukanana na NHC na sijui taasisi gani bila ya wahusika kuelewa...
  17. Mayor Quimby

    Maana ya mtaalamu

    Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works). Sio tu kwamba ameisoma Anafundisha at top university Ame andika vitabu best sellers Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his...
  18. Mayor Quimby

    Five chapter za social science PHD thesis huu mjadala kweli

    Yaani mtu uliesoma mpaka A level haya masomo ya biashara yasitaka hesabu au social science ukafunzwa jinsi ya kufanya research mtu mwenye Phd ya hizo fields anakutisha kweli. Kiwango cha elimu ya watanzania kitakuwa duni kweli. Surely if you know how to do research tayght from A level provided...
  19. Mayor Quimby

    Sifa za kuitwa mtaalamu

    Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali. Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science. Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
  20. Mayor Quimby

    Nehemia Mchechu bila ya ‘speed governor’ ni tatizo. Ndugu zangu wa mitaa ya ‘Al Muntazir’ Upanga mjipange

    Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa. Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me. Kama hela...
Back
Top Bottom