Nimekaa na wazee hapa, wananiuliza maswali ya kihistoria.
Swali waliloniuliza ni hili la Njaa ya legulegu iliyoikumba Kanda ya ziwa! Ilikuwa ni mwaka gani?
Wadau njooni hapa tufarijiane.
Huko serikali imeshaweka mazingira magumu Tena kwenye kukopa. Mimi 2018 nilichelewesha rejesho kwenye Moja wapo benki hapa nchini. Mambo ya yangu hayakwenda vizuri, nilicheleweshewa malipo sehemu, ila benki tulikuwa tunawasaliana vizuri tu.
Badae nikalipa na mda...
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika...
Wana JF, wasalaam.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu.
Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura.
1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama.
Ila kuna sehemu unakwama.
Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja kwenye mikutano yako ni viongozi wa CCM wa wanafunzi wanaolipwa posho. Mwananchi wa kawaida hawaoni...
Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.
1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa.
2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya.
3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano...
Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu.
Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu.
Mfumo/Kanuni yenyewe iko hivi;
1. 1/580 * N *APE*12.5*33%
2. 1/580 * N *APE*1/12*67%
UFAFANUZI
1. Kanuni namba moja...
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana la Nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgawo wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar...
Utafiti unaonesha, mtu akifika kileleni, mwili wake unapatwa na Msukumo mkubwa wa damu hivyo sehemu zenye michubuko zinaweza kutoa damu.
Mfano.. kama unapiga maswaki na kutokwa na damu kwenye fizi, hivyo hivyo Ukifika ama kufikishwa kileleni lazima utokwe na damu kwenye fizi. Na kidonda hasa...
Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia.
1. Samia azidishe asali kwa wapinzani.
2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru.
3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa.
Ni hayo tu.
NAANDIKA KWA MACHUNGU na Lazima tukubaliane kwamba huyu mwamba ni mtu wa dili. Hana mawazo mazuri juu ya nchi yetu.
Alipoingia tu madarakani, EWURA walipandisha bei ya mafuta hadi kiwango cha juu hakijawahi kutokea hapa nchini. Akasababisha mama akaanza kutoa hadi ruzuku (japo sina imani na...
Mlioko hapo Karibu embu mtujuze iwapo hizi habari ni za kweli.
Wengine wanasema kuna kikundi kimepewa kazi maalum ya kushughulikia legacy. Kimeona umati mwingi wa wageni unafika hapo Toka mikoa mbalimbali na hivyo Jina la Magufuli linaweza lisifutike.
Nawasalimu Ndugu zangu.
Kuna ka upepo fulani kanapita hapa nchini. Kwa siku napokea simu hadi 10 zinaomba hela.
Mimi mwenyewe najaribu kutafuta pesa ila imekuwa ngumu. Kila mtu analia na hata Biashara hazijachangamka kabisa.
Kipindi cha sikukuu kama hiki manunuzi yamekuwa ya chini...
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.
Ngoja tuone mwisho wa Makonda.
Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
======
MAKONDA AAGIZA BODABODA ZIACHILIWE
"Ninafahamu ya kwamba zipo bodaboda zilizotumia fursa ya mpaka kufanya biashara za magendo...
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana.
Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka.
1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende.
2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi?
Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini?
Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
Kwa namna ambavyo viongozi wetu wanajitahidi kubinafsisha rasilimali zetu - Hadi 2050 Bara la Africa litaanza kuvunja mikataba na kuwafukuza wawekezaji maana hawana manufaa kama tunavyoaminishwa kwa sasa.
Wawekezaji watafukuzwa kama walivyofukuzwa wakoloni.
Wananchi watakuwa hawana pa...
Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa.
2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi.
Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi.
Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.