Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel. Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
3 Reactions
39 Replies
288 Views
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo. Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo...
6 Reactions
86 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
54 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
4 Reactions
17 Replies
292 Views
Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI. NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
3 Reactions
21 Replies
919 Views
Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
4 Reactions
6 Replies
321 Views
Hakuna wanaume ambao wanakera wanawake kama wale wanaume ambao wanaremba kutongoza. Unakuta lijitu linamuonyesha dalili dada wa watu kuwa linampenda, linamtoa out, kumsifia kila siku, kumuangalia...
2 Reactions
3 Replies
70 Views
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike. Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba. Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
7 Reactions
50 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,838
Posts
49,581,877
Back
Top Bottom