Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,220
27,372
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
 
So katika taifa letu hili ka Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Kwani wachezaj wanalipwa na serikali🤔 acha kuandika pumba kijana ishu za mpira zinaingiinaje na serikali 🤔
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili ka Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Una hoja mkuu.Japo mimi siyo mwl lakini nadhani hata ww huelewi vizuri mishahara ya walimu.Mimi pia zamani nilijua mwl wa secondary analipwa mshahara zaidi ya mwl wa Primary mpka hapo nilipokuja kujua mshahara wa mtumishi yeyote wa Umma unalipwa kulingana na level ya elimu yake na siyo vinginevyo.

Pia wachezaji wanalipwa hela nyingi kwa sababu wanacheza kwa muda mchache sana mara nyingi ni miaka 10-15 wakati mtumishi wa Umma analipwa mpaka astaafu.

Mishahara ya walimu inasikitisha sana sana.Na serikali wala haijali.
 
Supply and demand...

Moja ya vitu muhimu ni Oxygen ukiikosa unakufa lakini haulipii unavuta tani yako...

Mbili sioni tatizo tuseme kwa mtu kama Diamond hata akilipwa trillioni kwa dakika kama washabiki wake wataridhia kwamba ni value for money ila katika timu nyingi za mpira hawapaswi kulipwa wanavyolipwa sababu timu nyingi business model zao sio sustainable na wana-overspend....

Watu wanalipwa kulingana na ukubwa wa changamoto wanazotatua
Mchezaji wa mpira wa miguu ana tatua changamoto gani zaidi ya kurukaruka uwanjani? Yani mtu anae ruka ruka uwanjani anaweza kuwa anatatua changamoto kushinda mwalimu anae wafundisha watoto wetu ambao baadae watakuja kuwa madaktari, wahandisi n.k?
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Nadhani kuna Hoja hapo lakini pia mkuu uangalie pia na Sustainability. Mwl. au Dk ni kazi ya kudumu(Pensionable) lakini mpira wa miguu ni suala la muda tuu - unatemwa wakati wowote.
 
Back
Top Bottom