Kwa lugha nyepesi ni kwamba misaada, watu na vinginevyo haviwezi kuingia moja kwa moja Gaza mpakani Rafah bila ukaguzi na idhini ya Israel.
Jeshi la Israel limechukua udhibiti wa mpaka wa Rafah na Misri.
Jana usiku, kwa idhini ya Baraza la Vita, Netanyahu aliagiza ifanyike operesheni huko Rafah. Masaa machache baadaye, vikosi vya Israel viliwatimua Hamas na kufanikiwa kupandisha bendera za Israel na kuondoa bendera za Hamas.
Hapo awali, Israel iliwaonya Wapalestina kuondoka eneo hilo kwa sababu ya operesheni ya kijeshi inayokaribia.
Hali ilivyo sasa bendera za hamas zimeshushwa, zinapandishwa za Israel
Hali ilivyo kwenye mitaa