Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na atangulize uzalendo, hekima na busara. Siyo kila kitu ni cha kuwajibu CCM hata kunyamaza ni hekima na busara. Usipende mno sifa za kwako pekee jenga team work na Mwenyekiti wako na uongozi kwa ujumla.
Upinzani umeshindwa kuing'oa CCM kwa sababu ya ulegevu wenu wa ndani na tamaa za madaraka na fedha na kutoaminiana.
Kaeni chini mtafakari kwa kina na tumieni watafiti kama ilivyokuwa kipindi cha Dkt. Slaa kujua nani apeperushe bendera vinginevyo mmekwisha, mtasambratika kama CUF, NCCR Mageuzi nk.
ACT itawapiku sasa hivi wanaonesha wako well organized na wanaonesha ukomavu wa kisiasa siyo ubabe wa akina Lissu anayekipasua chama.