Umejifunza nini katika picha hii ambayo Dkt Tulia amepakatwa na Mama Yake Mzazi?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
16,024
10,509
Ndugu zangu Watanzania,

Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla wake lilitokea mara baada ya Dkt Tulia kurejea Nchini kama Rais mpya wa IPU.

Ambapo ni katika tukio hilo ambapo Dada wa Taifa,fahari ya nyanda za juu kusini,msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na chaguo la wana Mbeya alionyeshwa upendo wa kipekee kabisa kutoka kwa Mama yake huyu Mzazi aliyeamua kumpakata Mwanae kwa upendo na hisia kali sana na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake na kuiheshimisha Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake..

Bila shaka Mama huyu na mama yetu aliyemleta DUNIANI speaker wetu kijana kabisa na mwenye akili kubwa ,mfano wa kuigwa kwa watoto wengi wa kike wanaosoma na mwenye moyo wa ukarimu,huruma,upendo, unyenyekevu,utu na ucha Mungu alimkumbusha mama yake na kumrejesha mbali sana kimawazo.

Bila shaka Mama yetu aliwaza mapito na magumu aliyopitia kimaisha katika kumlea mwanae mpaka kufika hapo alipofika ,mahali ambapo Dunia ikakubali uwezo wake na kumpatia Urais wa IPU kwa kishindo.bila shaka alikuwa anajionea kwa macho yake matendo makuu ya Mungu,bila shaka alikuwa anaona maneno yaliyoandikwa katika kitabu cha Samweli kuwa Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha mhitaji kutoka jaani ili kumketisha pamoja na wakuu , yakitimia kama ndoto machoni pake.

Bila shaka mama yetu ndani ya moyo wake alikuwa akibubujikwa na machozi ya furaha na shukurani kwa Mungu wake ,kwa kumkumbuka na kumuinulia Mwanae kama Nuru katikati ya giza kama ambavyo Mungu alimkumbuka Hana ambaye alikuwa ni Tasa na ambaye alikuwa akilia kila siku ili Mungu ampatie mtoto na hatimaye Mungu akajibu Maombi ,kwa kumpatia watoto na miongoni mwake ni Samweli aliyekuja kuwa mfalme.

Akina Mama wanapaswa kupewa heshima yao na kuheshimiwa sana.tunapaswa kuwapenda Mama zetu.jiulize ni mangapi amepitia Mama huyu katika kumsomesha mwanae mpaka kumfikisha alipofika? Ikumbukwe ya kuwa mama huyu na familia yake hakuwa tajiri wala kumiliki utajiri.lakini kwa uweza wa Mungu alihakikisha mtoto wake anatimiza ndoto zake za kielimu mpaka mwisho.

Ni kupitia tumbo la Mama huyu mpole na mkarimu leo Dunia inafaidika na akili na kipawa cha uongozi cha Mwanae Dkt Tulia,leo watu wanapata tabasamu na matumaini katika maisha yao baada ya kusaidiwa na kufikiwa na mkono wa huruma wa mwanae Dkt Tulia,leo mabinti wa kike mkoani mbeya wanasoma huku mfano wao ukiwa Dkt Tulia.

leo yatima ,wajane na wazee wasio jiweza mkoani Mbeya wanapata matumaini na kuishi kwa furaha kwasababu ya kusaidiwa kwa hali na mali na Dkt Tulia,leo maelfu ya watu mkoani Mbeya wanaishi bila wasiwasi na kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakiumwa baada ya kuwa wamegawiwa bure kabisa Bima za afya, na wengine kujengewa nyumba huku wengine wakipewa na kuwezeshwa mitaji ya kufanyia biashara zao za kuwapatia na kuwaingiza kipato cha kila siku.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Attachments

  • img_tmp_tag1714844983641.jpg
    img_tmp_tag1714844983641.jpg
    25.2 KB · Views: 1
Ndugu zangu Watanzania,

Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla wake lilitokea mara baada ya Dkt Tulia kurejea Nchini kama Rais mpya wa IPU.

Ambapo ni katika tukio hilo ambapo Dada wa Taifa,fahari ya nyanda za juu kusini,msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na chaguo la wana Mbeya alionyeshwa upendo wa kipekee kabisa kutoka kwa Mama yake huyu Mzazi aliyeamua kumpakata Mwanae kwa upendo na hisia kali sana.

Bila shaka Mama huyu na mama yetu aliyemletw DUNIA speaker wetu kijana kabisa na mwenye akili kubwa ,mfano wa kuigwa kwa watoto wengi wa kike wanaosoma na mwenye moyo wa ukarimu,huruma,upendo, unyenyekevu,utu na ucha Mungu alimkumbusha mama yake na kumrejesha mbali sana kimawazo.

Bila shaka Mama yetu aliwaza mapito na magumu aliyopitia kimaisha katika kumlea mwanae mpaka kufika hapo alipofika ,mahali ambapo Dunia ikakubali uwezo wake na kumpatia Urais wa IPU kwa kishindo.bila shaka alikuwa anajionea kwa macho yake matendo makuu ya Mungu,bila shaka alikuwa anaona maneno yaliyoandikwa katika kitabu cha Samweli kuwa Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha mhitaji kutoka jaani ili kumketisha pamoja na wakuu , yakitimia kama ndoto machoni pake.

Bila shaka mama yetu ndani ya moyo wake alikuwa akibubujikwa na machozi ya furaha na shukurani kwa Mungu wake kwa kumkumbuka na kumuinulia Mwanae kama Nuru katikati ya giza kama ambavyo Mungu alimkumbuka Hana ambaye alikuwa ni Tasa na ambaye alikuwa akilia kila siku ili Mungu ampatie mtoto na hatimaye Mungu akajibu Maombi kwa kumpatia watoto na miongoni mwake ni Samweli aliyekuja kuwa mfalme.

Akina Mama wanapaswa kupewa heshima yao na kuheshimiwa sana.tunapaswa kuwapenda Mama zetu.jiulize ni mangapi amepitia Mama huyu katika kumsomesha mwanae mpaka kumfikisha alipofika? Ikumbukwe ya kuwa mama huyu na familia yake hakuwa tajiri wala kumiliki utajiri.lakini kwa uweza wa Mungu alihakikisha mtoto wake anatimiza ndoto zake za kielimu mpaka mwisho.

Ni kupitia tumbo la Mama huyu mpole na mkarimu leo Dunia inafaidika na akili na kipawa cha uongozi cha Dkt Tulia,leo watu wanapata tabasamu na matumaini katika maisha yao baada ya kusaidiwa na kufikiwa na mkono wa Dkt Tulia,leo mabinti wa kike mkoani mbeya wanasoma huku mfano wao ukiwa Dkt Tulia,leo yatima ,wajane na wazee wasio jiweza mkoani Mbeya wanapata matumaini na kuishi kwa furaha kwasababu ya kusaidiwa kwa hali na mali na Dkt Tulia,leo maelfu ya watu mkoani Mbeya wanaishi bila wasiwasi na kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakiumwa baada ya kuwa wamegawiwa bure kabisa Bima za afya na watu wengine kujengewa nyumba huku wengine wakipewa na kuwezeshwa mitaji ya kufanyia biashara zao za kuwapatia na kuwaingiza kipato cha kila siku.

Asante naweka kalamu yangu chini ,maana watu nikiandika sana wanasema mimi nasifia sana na ni sasa nimekuwa ni kunguni kutoka kwenye uchawa. Mimi nilishasema kuwa ukifanya vizuri nakupongeza tu.sinaga wivu wala chuki na mtu mimi.mimi ni amani amani na upendo.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Dah We Jamaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la kugusa hisia za watu na ambalo liliteka hisia za watu wengi sana mitandaoni na DUNIA nzima kwa ujumla wake lilitokea mara baada ya Dkt Tulia kurejea Nchini kama Rais mpya wa IPU.

Ambapo ni katika tukio hilo ambapo Dada wa Taifa,fahari ya nyanda za juu kusini,msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na chaguo la wana Mbeya alionyeshwa upendo wa kipekee kabisa kutoka kwa Mama yake huyu Mzazi aliyeamua kumpakata Mwanae kwa upendo na hisia kali sana na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake na kuiheshimisha Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake..

Bila shaka Mama huyu na mama yetu aliyemleta DUNIANI speaker wetu kijana kabisa na mwenye akili kubwa ,mfano wa kuigwa kwa watoto wengi wa kike wanaosoma na mwenye moyo wa ukarimu,huruma,upendo, unyenyekevu,utu na ucha Mungu alimkumbusha mama yake na kumrejesha mbali sana kimawazo.

Bila shaka Mama yetu aliwaza mapito na magumu aliyopitia kimaisha katika kumlea mwanae mpaka kufika hapo alipofika ,mahali ambapo Dunia ikakubali uwezo wake na kumpatia Urais wa IPU kwa kishindo.bila shaka alikuwa anajionea kwa macho yake matendo makuu ya Mungu,bila shaka alikuwa anaona maneno yaliyoandikwa katika kitabu cha Samweli kuwa Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha mhitaji kutoka jaani ili kumketisha pamoja na wakuu , yakitimia kama ndoto machoni pake.

Bila shaka mama yetu ndani ya moyo wake alikuwa akibubujikwa na machozi ya furaha na shukurani kwa Mungu wake ,kwa kumkumbuka na kumuinulia Mwanae kama Nuru katikati ya giza kama ambavyo Mungu alimkumbuka Hana ambaye alikuwa ni Tasa na ambaye alikuwa akilia kila siku ili Mungu ampatie mtoto na hatimaye Mungu akajibu Maombi ,kwa kumpatia watoto na miongoni mwake ni Samweli aliyekuja kuwa mfalme.

Akina Mama wanapaswa kupewa heshima yao na kuheshimiwa sana.tunapaswa kuwapenda Mama zetu.jiulize ni mangapi amepitia Mama huyu katika kumsomesha mwanae mpaka kumfikisha alipofika? Ikumbukwe ya kuwa mama huyu na familia yake hakuwa tajiri wala kumiliki utajiri.lakini kwa uweza wa Mungu alihakikisha mtoto wake anatimiza ndoto zake za kielimu mpaka mwisho.

Ni kupitia tumbo la Mama huyu mpole na mkarimu leo Dunia inafaidika na akili na kipawa cha uongozi cha Mwanae Dkt Tulia,leo watu wanapata tabasamu na matumaini katika maisha yao baada ya kusaidiwa na kufikiwa na mkono wa huruma wa mwanae Dkt Tulia,leo mabinti wa kike mkoani mbeya wanasoma huku mfano wao ukiwa Dkt Tulia,leo yatima ,wajane na wazee wasio jiweza mkoani Mbeya wanapata matumaini na kuishi kwa furaha kwasababu ya kusaidiwa kwa hali na mali na Dkt Tulia,leo maelfu ya watu mkoani Mbeya wanaishi bila wasiwasi na kuwa na uhakika wa kupata matibabu wakiumwa baada ya kuwa wamegawiwa bure kabisa Bima za afya, na wengine kujengewa nyumba huku wengine wakipewa na kuwezeshwa mitaji ya kufanyia biashara zao za kuwapatia na kuwaingiza kipato cha kila siku.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hayatuhusu.
 
Punguza uchawa ww hivi kitu cha ajabu hapo ni nn sasa sisi tunapokwenda kwa wazazi anakukumbaitia na machozi ya kilio cha furaha tuseme nn ..kwako lazima iwe ajabu maana kama mm tu nakuona huna maana kwa uchawa wako wazazi wako watakua wanajuta hata kukuzaaa.
Asante kwa mchango wako na namna mama yako mzazi anavyobubujikwa na machozi ya furaha pale anapokuona mwanae wa pekee na ukiyepata bahati ya kuwa JF
 
Sasa utajifunza nini.maana kama ni umbumbumbu lazima ubakinao kama ulivyo.
Punguza uchawa kazi za mama zinajieleza.. Right now Tuna fanya geo survey kote visima 900 mradi wa maji kwenye majimbo huko tukifika vijijini wananchi wako na mama. Me mwenyewe ccm uhakika ila sasa wewe hujui kuelezea kazi hususa unasifia pasipo kuwa na mipaka.. Binadamu sio Mungu usipende sana kumfanya binadamu ndo yuko able Kwa kila kitu.. We unazan ikitokea mama amekata ghafla si na wewe unakosa content yaani hupost Tena hahahaha kuwa flexible at least John Baptist
 
Kama hujavuta bangi basi itakuwa bado una pombe ya jana kichwani mwako. Maana umejibu kitu ambacho hakiendani kabisa na nilichoandika hapa.acha kukurupuka ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo mpaka asubuhi hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom