Mbowe kijana wa CCM kwa kivuli cha upinzani

Walioteswa no wale wazalendo.haswaaa wapinzani was kweli!!

Mbowe,zito wala mnyika hawakuteswa why!?coz no sehem ya system!!Ile kesi ya ugaidi ilikua propaganda kuzima kipindi Cha mpito Cha kuondoika mwendazake na kushika samiah madaraka!

Lakini Mali za mbowe na propaganda nyingine ilikua TU kuonysha umma na yeye ni mpinzani!!

Wapinzani was kweli hawasavaivu sana!!

Kina mdude,lisu kipindi kile,heche n.k ndio hao wanaoifanya Dola itumike kuilinda CCM madarakani!!!
Garbage !!
 
Kama vyama vya upinzani kikiwemo CDM vmetengenezwa kimkakati na CCM kwa ajili ya maslahi yake. Je! Hiyo si ndiyo salama kwake! Sasa kwa nini nguvu kubwa inatumika kupitia mbeleko la vyombo vya dola kukihujumu na kutaka hata kukiua.

Tatizo lako, unaandika tena kwa kuungaunga kile ambacho kimetokea katika misha binafsi na historia ya mfanano wa sehemu walizowahi kuajiriwa viongozi hao watatu. Umekwepa kwa makusidi kuizungumzia historia ya CDM kama taasisi makini ya kisiasa.

Na hili ndilo tatizo lenu kubwa UVCCM, badala ya ku "focus" katika uhalisia wa mambo, mnatafuta stori za vijiweni na kuanza kujiaminisha kuwa ni za kweli, na kisha kujipongeza kwa siifa za uongo, na kuendekeza maisha ya uchawa!
MMEKWISHA HAKUNA KITU HAPO HIYO NI MBOWE AND FAMILY SACCOSS
 
Ikawaje yatumike mabilioni kuwanunua wapinzani hao? Ikawaje kuharibu uchaguzi na kuitia nchia madoa ili kuzuia upinzani walioutengeneza usichukkue nchi?
Ikawaje zitumike nguvu kubwa za majeshi yetu kuudhibiti upinzani walioutengeneza wenyewe? Kumbe CCM na system yetu ni empty buckets kiasi hicho?
HIZO NI VIINI MACHO TU UNACHUKUA HELA MFUKO HUU UNAWEKA HUU HUKU SIKU ZINAENDA
 
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.

Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na walitolewa kwa sababu maalum kutengeneza chama cha upinzani ili Tanzania itambulike na dunia kama imeruhusu mfumo wa vyama vingi na demokrasia.

Tangu Chadema iasisiwe, hatujashuhudia kiongozi tofauti ya hao watatu waliotoka BOT kwa shughuli maalim kuulaghai umma wa kimataifa juu ya uwepo wa vyama vingi na demokrasia Tanzania.

Baada ya Chadema kuasisiwa, wakaja wanachama wengi ambao hawakuwa sehemu ya mpango huo (Kuilaghai dunia) hawa wakaja kwa nia ya dhati kabisa ya kuiondo Ccm na hapo ndio Mbowe akawa mkali kama pilipili.

Tunaanza na Kaburu, huyu bwana alikuwa mwiba kweli kwa serikali ya Ccm. Mbowe ili kulinda maslahi yake mwaka 2005 alishilikiana na Ccm Bega kwa Bega kuhakikisha Kaburu anashindwa na Serukamba. Kwanza Mbowe hakumpigia kampeni Kaburu, Kaburu hakupewa sapoti na Chama kabisa mpaka alipoangushwa. Na kama zawadi Mbowe akapewa jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto kabwe.

Baada ya Kaburu kikaja kizazi cha pili, kizazi cha vijana waliokuwa na uchu wa mabadiliko kweli kweli. Hapa nawazungumzia kina Zitto, kafulila na Machali. Hawa wote walisambalatishwa kama upepo. Ccm ikapumua tena.

2010 mpaka 2015 hakuna mwanamageuzi aliyeonyesha njia kama Dr Slaa, Ccm ilikuwa inaondoka. Mbowe akakumbushwa wajibu wake wa kuilinda Ccm. Akaletewa criminal Lowasa na kumpoteza Dr Slaa ambae angeweza kutunishana misuli na Magufuli. Tukapoteza tena kizembe.

Kumpongeza Mbowe kwa kuiongoza Chadema miaka 20 pasipo kuitoa Ccm ni ujinga, kuimba nyimbo za Mbowe kuwaita wanaompinga wanafiki ni ujinga. Tunatakiwa kumuhoji Mbowe kwanini ndani ya miaka 20 ya uongozi wako hatujaona matokeo zaidi ya kubadilisha bendera na kauli mbiu?

Wanasiasa aina ya Mbowe wapo wengi duniani, upinzani ni sehemu yao ya agizo la kuvilinda vyama tawala na kuhakikisha upinzani wa kweli haupatikani.

Baada ya kuonekana Mama Samia hana Ushawishi Mbowe kaamua kumfanyia kampeni kwa dirisha la upinzani. Kuandamana bila bugudha mama aonekane ni mwana demokrasia, kumsifia majukwaani na kukiri kusaidiwa nae.

Mbowe anatengenezea sana sympathy na Ccm ili aendelee kuaminiwa kama kinara wa upinzani ila kiuhalisia hizo ni niia tuu za ku block upinzani wa kweli kuaminiwa. Wanaoelewa siasa watanielewa.

View attachment 2946424

Kwa leo naweka kalamu chini.
Kichwa kikiwa kidogo na akili Huwa ndogo
 
Najuta kuziCrash hoja za Hayati Mrema mwaka 1995 na kuwapa mbinu za kumshinda Mrema !
Shukran yao wakaja kunitukana na kunidhalilisha !

Mungu anawaona siku moja watalipa !
Karma is a bitch ! Just a matter of time !
 
Wewe ndio umejua Leo ?
 
Hivi hamnaga CD nyingine? Hebu tafuteni nyingine sasa, hii imekaa Sana! Kila MTU LAZIMA amtaje Mbowe ili aonekane anajua SIASA za CCM na Tanzania
Unaumia eeeh, sasa kwakua unaumia hii CD hatuitoi mpaka uache kuumia
 
Mbona inaeleweka na ndo maana mbowe hataki kuachia kiti ili chama kisije kupata kiongozi mpinzani wa kweli, miaka 20 kakomaa kama mwenyekiti wa chama
 
Back
Top Bottom