Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,818
- 22,524
Siwezi kumuamini nabii wa uongo, ulichoandika ni historia sio uhalisia, historia hupita na bendi nyingi zilianzishwa na vijana wa mtaa au eneo moja kutokana na kushauriana kwao kwa kila siku.CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema.
Historia inatuambia, waanzilishi wote wa Chadema walikuwa Benki kuu. Yaani Mtei, Bob Makani na Mbowe na walitolewa kwa sababu maalum kutengeneza chama cha upinzani ili Tanzania itambulike na dunia kama imeruhusu mfumo wa vyama vingi na demokrasia.