Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Barabara zinajengwa
Mpaka sasa nenda Mataa pale Tazara wapo busy.
Reli ipi unazungumzia !!
Nairobi wana Reli ya mkoloni ambaya hata Dar ipo
Japo wapo kwenye kakipisi ka SGR ka Mombasa to Nairibi
Bado haija fanya kazi kuizungumzia hiyo!!
Hata sisi tenda lipo hewani
Na wakandarasi tayari wamesha jitokeza
Tunaanza na Dar to Moro mwaka huu.

Hakuna kipya Nairobi Dar hakuna kwa sasa
 
Baba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.
Wao wanasifia vile vi Matatu!!
Full mipicha uchafu tu
Dar yale yalisha pitwa na wakati kabisa.

Watu wamekalia historia basi
Hawataki kutembea na kujionea wenyewe.

Nairobi haina kipya tena
 
Giraffe Centre
girraffe_centre-kenya-safari.jpg

images-19.jpeg
 
Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread

Wanapigwa ndukii wanaanza ooh Nairobi haina Master plan oooh Blah blah blah!!!...... Nimecheka yangu yote.... Kwanza hatujaanza kuweka the web of highways in Nairobi.... Inferiority complex at its best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom