mwenyezi mungu

  1. okiwira

    Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  2. M

    Kutumia jina la Mwenyezi Mungu kisiasa ni kujitafutia balaa

    Imekuwepo tabia katika nchi hii hivi karibuni, serikali au viongozi wakitaka kuungwa mkono na umma katika mambo kadha wa kadha wanakimbilia kwenye dini. Tabia hii ya ajabu kwa kiasi kikubwa ilianzishwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda smbaye kila alipokuwa akipata...
  3. T

    Uchaguzi 2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  4. jitombashisho

    Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Nchi nzuri na yenye kila kitu

    Tunayo mito, maziwa na bahari. Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka! Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
  5. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

    Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma. Mwenyekiti...
  6. Mzukulu

    Kenya: Mama aua wanae wanne, asema Mahakamani kuwa alivamiwa na nguvu za giza

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri wakati anatenda unyama huo. Ndiyo maana Sisi wengine...
  7. F

    Alinusurika kifo kwa kudra ya Mwenyezi Mungu

    Hili ni tukio la kweli kabisa lililotekea mwaka 1988, kuna Jamaa mmoja alitokea Tanzania kwenda Msumbiji kwa kupitia border mmoja inaitwa Congress au mkenda.kipindi hicho haikuwa njia rasmi sababu kulikuwa hakuna ofisi za uhamiaji kwa pande zote mbili yaani TZ na MOZ. Jamaa alikuwa anaenda...
  8. WilsonKaisary

    Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  9. Mzukulu

    Kwa Maelezo ya Tundu Lissu dhidi ya ' Makahaba wa Kisiasa ' ni dhahiri shahiri kuwa ' Wameshalaanika ' vibaya mpaka kwa Mwenyezi Mungu

    Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA. Na kama kuna...
  10. Mzukulu

    Kampuni kama hii kamwe haiwezi kuacha Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Matendo yake mema kabisa

    Mfanyakazi wa @Google akifariki, kampuni hiyo humlipa mwenza-wake 50% ya mshahara wake kwa miaka 10. Pia mtoto/watoto wako watapokea USD 1,000 (Tsh. Milioni 2.3) kila mwezi hadi watakapofikisha umri wa miaka 19 (au miaka 23 kama ni mwanafunzi). Makampuni ya Kitanzania ( Kibongo ) nanyi pia...
  11. LIKUD

    Mwisho ama vifo vya Mitume na Manabii wa mwenyezi Mungu

    Uzi huu ni maalumu kuelezea kuhusu mwisho wa maisha ya Mitume na Manabii mbalimbali WA MWENYEZI MUNGU. Namna walivyo kamilisha safari Yao ya maisha Yao hapa duniani. Sababu zilizo pelekea vifo vyao. 1. YESHUA AMASHIACH ama YESU. Wakristo watanishambulia Kwa kumuweka katika moja na Manabii na...
  12. J

    Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

    Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu. Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
  13. GENTAMYCINE

    Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

    1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni 2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer 3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini 4...
  14. Chachu Ombara

    Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
  15. Webabu

    Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

    Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia. Amehamisha ubalozi ya Marekani kuupeleka mji wa Jerusalem ambao Wapelestina katika makubaliano yao ya...
  16. GENTAMYCINE

    Ili Kutomuudhi sana Mwenyezi Mungu sasa Wanaume ' hatuui ' tena Wapenzi wetu bali tunachoma tu Moto ' naniliu ' zao pekee

    Katika hali inayoonyesha kuwa Wanaume wa sasa tumeshachoka na Vitendo vya ' Uchepukaji ' na ' Dharau ' nyingi kutoka kwa Wanawake zetu ambao huwa wakianza tu Mahusiano ya Kimapenzi na Wanaume wengine sasa umekuja ' Ubunifu ' mpya ambapo Wanaume wa sasa ' hawauwi ' tena na badala yake wanachoma...
  17. Econometrician

    Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

    Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara. Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya...
Back
Top Bottom