mnafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vichekesho

    Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  2. Daspauls 238

    Rafiki aligeuka kuwa mnafiki kisa mwanamke

    Wana jf nawapeni hii thread ni very critical Tulikutana na that guy o level mimi alikuwa mgeni mimi ndo niliye mpokea skonga na mtaani Kwa hiyo huo ndo ulikuwa mwazo wa urafiki wetu ilifikia hatua our fellow students wakatuonea wivu kutokana na lifestyle yetu Tulipoizoea shule yeye ndiye...
  3. GENTAMYCINE

    Huu hapa Ukweli uliojificha kumhusu Mlalamikaji Mnafiki Fiston Mayele na Lawama zake za Kurogwa na Waganga wa Yanga SC

    Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
  4. Nigrastratatract nerve

    Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

    Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia Mfano eti unamsifia...
  5. William Mshumbusi

    Kama kuna mwanasimba anayeishi Dar hataenda uwanjani kuisapoti timu basi huyo ni mnafiki

    Hakuna wakati ambao simba inahitaji nguvu ya mashabiki wake kama kesho. Licha ya miyeyusho ya akina Kajula. Timu ina ceo alafu inaongozwa na kelele zetu. Lakini chonde chonde tusikose kwenda kuangalia mechi hiyo kesho. Nje ya matatizo ya uongozi ni wakati wa wawashabiki na wachezaji kuungana...
  6. GENTAMYCINE

    Feitoto kama unataka kurejea Yanga SC rejea tu

    Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto. Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa...
  7. GENTAMYCINE

    Nisiwe Mnafiki kuna Timu ikishinda leo naingia Msituni rasmi Kimafia kuwasaidia Wasudani ili Wafuzu

    Ni Timu moja mbaya na nisiyoipenda si tu Tanzania bali hata duniani ila kwa sasa nimeisahau Jina.
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Haya mambo ya kuzunguka zunguka hayafai kwa sababu muda unaenda kasi sana. Siwezi kujifanya sijashtuka Phiri kukalia bench dakika 90. Ni uongo. Kila mtu kaona kikosi cha kwanza huku majembe mengine yakiwa pale bench. Baadae wakapewa nafasi wachezaji wa kawaida na wakali kama kina Ngoma. Halafu...
  9. K

    Waziri Ulega: Uliamua kuwa mnafiki kwa Mpina ili uwe Waziri?!

    Nimeangalia hotuba ya Waziri wa mifugo na uvuvi wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Wizara yake...jamaa anajisifu kwamba kwa kutomshauri Waziri Mpina kipindi akiwa Boss wake ndiko kumempatia nafasi ya uwaziri....How pathetic!?...Kazi ya Naibu Waziri ni mshauri namba moja wa Waziri husika, sasa...
  10. M

    Ukiwa tapeli, mnafiki, muongo na tapeli utapendwa na kusifiwa sana na watu

    Utakatishaji wa fedha, au utapeli, ni vitendo vinavyohusisha utumiaji wa mbinu zisizo halali kuficha asili ya pesa au mali zilizopatikana kwa njia isiyo halali. Hii ni aina ya uhalifu wa kiuchumi ambao husababisha uharibifu mkubwa kwa uchumi wa nchi. Uongo ni kitendo cha kutoa taarifa zisizo za...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Wengine ukituheshimu kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge

    WENGINE UKITUHESHIMU KWA PESA TULIZONAZO TUNAKUONA KAMA MNAFIKI NA KIBERENGE. Anaandika, Robert Heriel Tajiri wa Tibeli Wengine vipesa tumeanza kuvishika mapema. Hizi miambili miambili, sijui tumilioni. Hivi Kwa kweli tumebarikiwa mapema mno lakini hiyo haitufanyi tuheshimiwe au tudharau...
  12. W

    Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  13. Mtu Asiyejulikana

    Ukimwangalia kwa Mbali hivi unaweza sema ni Mnafiki...

    Mtanzania ni mtu ambaye kwa kweli ni ngumu sana kujua anataka nini. Watanzania wengi kama si wote. Ashamum si matusi. Wamejawa na Unafiq wa SGR. Kama ni barabara basi kiwango cha Lami. Tena Lami ya miaka yetu ile inatengenezwa na Kajima au Konoike. Mtanzania unaweza ukamwona kwa mbali...
  14. Wadiz

    Nisiwe mnafiki wanawake wenye chuchu Mungu awazidishie zaidi

    Wasalaam Sina mengi nimetafakari sana kwenye rejea mimi ni Mr chuchuz ujumbe wapenda trakooz mimi siko huko, hakika wanawake wenye chuchu Mungu awabariki sana aongeze idadi yenu kuna haja tuendelee na tafakuri ya kuoa au kuenzi vyombo. Sina mengi mnanibariki sana I feel it uwepo wa mwanamke...
  15. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji wa KMC FC Mateo Antony, wewe ni 'Mnafiki' na zaidi ya 'Yuda Iskarioti' katika Biblia

    Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary. Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
  16. Nyankurungu2020

    Hakuna Mtanzania mwenye timamu anaweza kumsikiliza Nape. Ni mnafiki na hana credibility kujifanya ana huruma na upinzani

    Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha. Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya. Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
  17. GENTAMYCINE

    Mchambuzi Ally Kamwe Kaka zako tulikuonya kuacha Kujipendekeza Yanga SC, kwa Manara na kuwa Mnafiki ili uwe Msemaji wao hukusikia

    Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake. Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
  18. The Spirit of Tanzania

    Ahadi za uongo za marafiki

    Amani iwe kwenu. Ninapitia kipindi cha kuumia sana. Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu...
Back
Top Bottom