mabasi ya shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Serikali: Hatuna mfumo wa ukaguzi wa madereva wa mabasi ya shule

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Carolyne Nombo amesema wizara walitoa mwongozo wa mabasi ya shule na kwamba waliviachia vyombo vingine vya Serikali kuendelea na ukaguzi wa madereva hao kama wanavyofanya kwa madereva wengine na hawakuwahi kuwa na mfumo. “Baada ya...
  2. B

    Vifo vya watoto wa shule Arusha: Mabasi ya shule yapewe vipaumbele barabarani

    Kifo ni kifo lakini vifo vya wahanga wa ajali hii, looh! Mtu usemeje? Watu wazima waliokuwa kwenye gari lile waliotoka salama, wanacho nini cha kumwambia nani leo? "Kwa hakika mtu mzima aliyekufa na watoto wale akipambana kuwakoa alifanya yote yaliyokuwa sahihi." Hawa watu ilikuwa muhimu...
  3. Roving Journalist

    Arusha: Jeshi la Polisi laendelea na ukaguzi wa mabasi ya Shule ili kubaini magari mabovu na kuyazuia

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limesema linaendelea na ukaguzi wa magari ya Shule ikiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka kabla ya muhula wa masomo kuanza ambapo imekuwa ikifanya ukaguzi wa magari hayo ili kubaini changamoto na kutoa maelekezo ya matengenezo ya vyombo...
  4. Black Opal

    Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
Back
Top Bottom