The Grand Comoro bulbul (Hypsipetes parvirostris) is a species of songbird in the bulbul family, Pycnonotidae.
It is found on the Comoro Islands.
Its natural habitat is subtropical or tropical moist montane forests. Until 2011, the Moheli bulbul was considered as a subspecies of the Grand Comoro bulbul. Alternative names for the Grand Comoro bulbul include the Comoro bulbul and Grand Comoro black bulbul.
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Othman Yakubu akizungumza na Watanzania wanaoishi Comoro katika Kikao Maalum kilichoandaliwa na Ubalozi kushirikiana na Jumuiya ya Watazania nchini Comoro (TADICO) tarehe 02 Juni, 2024 Oasis, Moroni.
Habari Wana jukwaaa?
Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM
Ahsanteni...!!
Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoros amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoros (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake...
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoro (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake, Voidjuu.
Wakati wa mkutano huo, Viongozi wa TADICO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Prince Said Ibrahim uliopo Moroni nchini Comoro tarehe 25 Mei, 2024.
Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu...
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanziabar (ZIPA) imekutana na Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Balozi Said Yakubu aliyefika Ofisi za ZIPA Maruhubi Kujitambulisha
Balozi huyo ambae ameambatana na watendaji kutoka Idara ya Mambo ya Nje Tanzania amesema kuteuliwa kwake kuwa Balozi wa Comoro ni...
ZANZIBAR NA COMORO INA MAHUSIANO MAALUM
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa kindugu hivyo ameridhia kufunguliwa kwa Konseli Mkuu wa Comoro hapa Zanzibar.
Rais Dk. Mwinyi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Majini yamejenga msikiti yameweka Hadi grill🙌🙌 siment sijui yametumia ya dangote , au ya pakistani 😂 Mungu atusamehe
Majini wamejenga jengo mpaka vioo vya aluminium wameweka
Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi.
Kwa nini imekuwa hivyo?
Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini, Mhe. Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Viongozi hao wamejadili masuala mbalimbali ya...
Mungu azidi kukubariki rais Samia kwa uamuzi sahihi wa kutuletea ndege ya mizigo.
Sisi wafugaji na wavuvi wa sangara sasa ni muda wetu kuuza bidhaa zetu nje ya nchi kwa wakati.
Umefanya jambo la maana sana kutukumbuka sisi walala hoi.
Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi.
Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka.
Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
Habari wana Jamvi,
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa sekta au tasnia ya usafiri wa anga kwa ndani ya nchi na kimataifa.
Siku ya jana tarehe 21/04/2022 shirika la ndege la Tanzania lilikua na ndege yake Airbus namba TC 210 ambayo inatoka DAR-HAH (DAR-COMORO) ambayo iliruka saa 4 asubuhi kuelekea...
Habarini wana jamii..
Nilikuwa nataka kutembelea Comoro ili nijifunze mahitaji yakule nifaye itafiti kama naweza kuwa na supply biashara kule kisiwani kwao kutokea huku Dar es Salaam.
Sasa najiuliza maswali kadhaa..
1. Usafiri wakwenda kule unapatikana wapi?
2. Nauli inakuwa bei gani?
3. Je...
Habari GT,
Nianze kwa kusema kuwa mimi sio muandishi mzuri ila nitajitahidi kuweka vitu katika mpangilio kwa kiasi chake.
Kabla ya kuangalia baadhi ya fursa za biashara zilizoko Comores na changamoto zake, hebu tuangazie kidogob jamii ya watu wa huku katika nyanja za siasa, uchumi na jamii kwa...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.