brown

Brown is a composite color. In the CMYK color model used in printing or painting, brown is made by combining red, black, and yellow, or red, yellow, and blue. In the RGB color model used to project colors onto television screens and computer monitors, brown is made by combining red and green, in specific proportions. In painting, brown is generally made by adding black to orange.
The brown color is seen widely in nature, wood, soil, human hair color, eye color and skin pigmentation. Brown is the color of dark wood or rich soil. According to public opinion surveys in Europe and the United States, brown is the least favorite color of the public; it is often associated with plainness, the rustic, feces, and poverty. More positive associations include baking, warmth, wildlife and the autumn.

View More On Wikipedia.org
  1. Etugrul Bey

    My Brown Sugar

    Ilianza kama utani lakini sikujua kama itatokea siku nita fall in love na wewe,wala sikuwahi kuwaza kwamba utakuja kuziteka hisia zangu Wakati mwingine huwa napotezea lkn ukweli unabaki pale pale kwamba hakika moyo wangu umekupenda,,naweza kuyadanganya mawazo yangu lkn si moyo wangu Hatujawi...
  2. L

    Bajaji TVS Apache 1604v 2020 Brown inauzwa 3.2million kazi kwenu.kwa mawasiliano piga 0695022051

    Habarini Wana JF kwa anaetaka kuanza biashara ya bajaji Karibu sana bajaji inauzwa na ipo vzr sana bei ni 3.2 million tu
  3. D

    The DaVinc code by Dan brown; Part 1

    Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya kuleta hapa ili kujifunza. Kitabu hiki kilmeandikwa na mwandishi Dan Brown na kutolewa mwaka 2003...
  4. A

    Nightmares - Chris Brown ft Bryson Messia

    Gwala wadau, nimesikiliza huu wimbo naona unakita si mchezo. Utunzi ☑️ Beat ☑️ Melody na Lyrics ☑️ Chris Brown ni gem kwenye hii Tasnia ya Muziki. Lyrics Me brother get tied up in the streets, said them can't leave out And if you can't bring the Glock 'round so, then them nah leave out (Yeah)...
  5. Mto Songwe

    Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
  6. BARD AI

    Chris Brown kuachia albam ya 11 tarehe 11 mwezi wa 11 na itakuwa na Nyimbo 11

    Nyota huyo wa Muziki wa R&B kutoka Marekani, amesema albam itaitwa "11:11" na itakuwa na nyimbo 11, tofauti na ilivyozoeleka katika albamu zilizopita ikiwemo 'Heartbreak' on a Full Moon, Indigo iliyokuwa na nyimbo 57. Breezy amesema licha ya mashabiki zake kutaka albam yenye nyimbo nyingi...
  7. Balqior

    Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

    Sio yule Chris Brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday.. Sasa hivi ana...
  8. JanguKamaJangu

    Beki wa zamani wa Man United, Wes Brown afilisika

    Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake. Nyota huyo aliyedumu United kwa miaka 15, na kucheza mechi 23 za timu ya Taifa ya England aliondoka katika nyumba...
  9. BARD AI

    Chris Brown ahojiwa na Polisi kwa vurugu zilizotokea baada ya kuingia Klabu

    Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali. Chris Brown anayeendelea na...
  10. Logikos

    Hivi kwanini Brown alishika Tama ?

    Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile namkumbuka Kimweri na ndoto zake, nakumbuka yule ndege mzuri mwenye rangi za kupendeza. bila...
  11. Hemedy Jr Junior

    Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

    Wabongo bhana..... Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka...
  12. BARD AI

    Chris Brown amuomba msamaha Mshindi wa Tuzo ya GRAMMY, kutokana na post yake iliyohoji "Robert Glasper ni nani"?

    Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy. Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa ujumbe wa moja kwa moja aliotuma kwa Glasper ambapo akimpongeza mwanamuziki huyo kwa kushinda Albamu...
  13. Sky Eclat

    Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

    Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’. Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
  14. figganigga

    Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

    Salaam Wakuu, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
  15. Frumence M Kyauke

    Otile Brown awakashifu Zuchu na Mbosso

    Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii hao wawili waache mazoea, ila hana roho mbaya. "Punguzeni mazoea basi … Hio ni melody nzima ya...
  16. Dodoma Demand

    Kila saa pale Merekani mtoto hufa kwa jeraha la risasi By Chriss Brown

    "Every to hours America Today child dies of gunshot wound!? "Is scared they what family planning to work or behavior" Tuendelee kuchezea Label ya "tanzania mpya" na "tanzania ni nchi ya amani"
  17. alcacer

    Nywele zangu zimekuwa za brown, naomba msaada zirudie rangi nyeusi

    Nisaidieni nywele zangu zimepoteza ublack sasa hivi niza brown nafanyaje kuzirudisha katika hali yake ya kawaida?
Back
Top Bottom