Search results

  1. Masikio Masikio

    Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Ndoto ya kwanza Niliota mimi flani nimezaliwa mwaka 1800's na ukijimlisha miaka 100 ni miaka ya 1900's ndo utapata mwaka niliozaliwa hii ndoto niliota kwa msisitizo mkubwa sana na ilinistaajabisha sana Ndoto ya pili Niliota niko sehemu ila kuna nyoka wengi wametapakaa kila mahali najaribu...
  2. Masikio Masikio

    Tetesi viongozi na wazee wa simba wamuomba Mohamed dewji abaki asiondoke kama mwekezaji

    Ni tetesi sio habari ya uhakika Wazee na viongozi wa simba wamemfuata dewji na kumuomba asiache timu sababu tokea amechukua simba imefuzu mara tano robo fainal katika mashindano yote ya CAF Katika historia ya simba hawajawah kupata mafanikio kama ilivyo kipindi ikiwa chini ya tajiri wa kwanz...
  3. Masikio Masikio

    Zabuni (tender) ya kununua vitu vya kawaida kabisa anapewa mchina viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana

    Copy & paste Zabuni ya kununua na kusambaza mashine za kufulia katika vituo vya afya na hospitali unampa mchina. Zabuni ungempa mwekezaji mzawa na kukuza mtaji wake. Mchina anapeleka pesa kwao. Zabuni anapewa Shenzhen Anglell Technology Co. Ltd ambao walichelewa kuwasilisha zabuni zao...
  4. Masikio Masikio

    Msikiti wa Al Aqsa hauna muda mrefu utabomolewa na Israel

    Kwa hali inavyooendelea mashariki ya kati dhidi ya iran kuishambulia israel ni wazi msikiti wa al aqsa unaenda kubomolewa kwa kisingizio cha iran anaishambulia israel
  5. Masikio Masikio

    Mwaka 2005 nilishuhudia kupatwa kwa jua (solar eclipse)

    Mwaka huu kutatokea tukio la kupatwa kwa jua ila kwa huku Tanzania hatutaliona vizur kama watu wa Mexico na Marekani Ila imekunimbusha tukio kama hili nililishuhudia na nikiwa na utimamu wa akili kuanzia mida ya saa saba mpaka saa tisa kulikua na kivuli flani hivi japokua jua lilikua linawaka...
  6. Masikio Masikio

    Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

    BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency. Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived Israeli imeshafanya yake
  7. Masikio Masikio

    Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  8. Masikio Masikio

    Zifuatazo ni njia za kuondoa machawa

    Tunafahamu machawa wamekua wengi na wanazidi kuongezeka zifuatazo ni njia za kuwaondoa machawa;- Kuondoa wakuu wa wilaya Watu wengi wanakua machawa kwa matarajio kwamba watapata ukuu wa wilaya, kuondoa nafasi ya wakuu wa wilaya ni moja ya njia ya kupambana na tatizo la uchawa Rais kutokuchagua...
  9. Masikio Masikio

    Kwa jicho la mbali, Makonda alikuwa anajijenga yeye na sio chama

    Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi. Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni kwamba vigogo wa CCM na mtu yeyote mwenye upeo mkubwa walishaona Makonda anajijenga yeye kwa kupitia...
  10. Masikio Masikio

    Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

    Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
  11. Masikio Masikio

    Serikali itafute foreigner ndio awe bosi wa mwendokasi, ila siyo kubinafsisha

    Shirika la emirates bos wake ni mzungu ila shirika ni mali ya emirates kwanini serekali isitafute muwekezaji kutoka foreign country kupitia interview na wampe kazi Sio tu mwendokasi hata TANESCO wapewe foreigner watanzaia wengi uwezo wa management hawana kubinafshisha moja kwa moja sio...
  12. Masikio Masikio

    Huwezi tegemea wawekezaji wa kigeni ndiyo waendeleze nchi

    Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa wasio na exposure na wengi wao ni machawa Mpaka sasa hivi mabosi wa mwendokasi wangetakiwa wawe na...
  13. Masikio Masikio

    Asilimia kubwa ya shule za Tanzania, serikali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana, matokeo yake mzigo huo wamebebeshwa wazazi

    Katika mawaziri wa hovyo Bashe ni mmoja wapo unapokataa msaada na kusema tunaweza swali la kumuuliza kwanini mpaka leo shule nyingi za msingi na secondary serekali imeshindwa kuhakikisha wanakula mchana bali huo mzigo wamepewa wazazi wachangie. Hii nchi tuache siasa za hovyo kama anazofanya...
  14. Masikio Masikio

    Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

    Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili. Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti. Kipindi kile Yanga...
  15. Masikio Masikio

    Suala la mipango miji ndo imetushinda kabisa waafrika.

    Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni mbaya sana sio nzuri kabisa sababu kubwa na kutokuwepo kwa mipango miji ambayo ndo chachu ya kupendezesha miji Kama umeshawahi kwenda nchi yeyote ya western utaona jinsi kulivyo pangiliwa na kunavyopendeza mfano ukienda japan ni super clean na huwezi ona...
  16. Masikio Masikio

    Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  17. Masikio Masikio

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo...
  18. Masikio Masikio

    Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
  19. Masikio Masikio

    Exposure unaipata sehemu yoyote ile as long un smartphone na bando

    Bado kuna watu wanaamini ili uwe na exposure lazima uende abroad kwa dunia ya science na technologia unahitaji tu simu yako ya smartphone na bando utajifunza jambo ambalo unalitaka Sikatazi watu kwenda abroad kama umepata nafasi ni vizuri ila kama hujapata wekeza mda wako kwenye kuperuzi mambo...
  20. Masikio Masikio

    Cyrill radcliff mwanasheria kutoka london aliyeigawanya india na pakistan

    Baada ya vita vya pili vya dunia uingereza kutoka na kutumia hela nyingi sana kwenye vita waliona ni mda muafaka wa kupunguza baadhi ya makoloni moja wapo likawa ni india Kwa kipindi ambacho mwingireza ametawala india aliona itakua ngumu kwa jamii mbili za waislaimu na wahindu kukaa pamoja kwa...
Back
Top Bottom