Recent content by Ndata

  1. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    😂 😂 😂 😂 bila yeye isungewezekana
  2. Ndata

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Maandalizi ya 2025 yameanza Rasmi. Hofu ya mama ni kaskazini ilipo ngome ya Chadema. Dawa ya wanasiasa wabishi ni mwanasiasa mbishi Makonda. Karata zinaendelea kuchangwa, Lema tayari kapata dawa yake. Tuendelee kuimba anaupiga mwingi kwa sauti ya Mbowe
  3. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Kwakua mitume inasemwa basi endeleeni kumsema yawezekana pia alikuwa mtume
  4. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    He is no more, tukiendelea ku deal na marehemu aliopo nae tuta deal nae akifa?
  5. Ndata

    Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Ni jukwaa huru bro, unaweza underline mazuri yake kama waziri wa kilimo. Article yangu haikuwa kwa ajili ya kumpongeza ila kumsema kwa mianya mikubwa inayotuumiza wakulima yeye akiwa kakaa ofisini pasipo kuchukua hatua
  6. Ndata

    Bashe hana jipya zaidi ya Siasa kwenye Wizara muhimu

    Ni sahihi pia kuona anajitahidi ndugu. Lakini wakulima haswa wa mazao yasio nafaka bado tunaumizwa sana na hatuoni akichukua hatua. 1. Kahawa 2. Muwa 3. Parachichi Tunaomba kwanza waondoe sheria ya mkulima kuwa controlled na vyama vya ushirika ambavyo lwa asilimia kubwa vimejaa upigaji na...
  7. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Nyie nao bila kumtaje Magu huwa hamuwezi kuongea chochote. Huo ni ugonjwa
  8. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Hivyo tuendelee kumsifia?
  9. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Marais husifiwa ila kwa mama imekuwa too much
  10. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Hahahahaha tuache watu watetee ugali na kuutafuta ugali kwa kujikomba
  11. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Bungeni ndio kisanga
  12. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Sawa watu wa mama
  13. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Ni sawa lakini?
  14. Ndata

    Ni sahihi Rais kutajwa kwenye kila kitu?

    Hujamshukuru kukuruhusu kuweka reply bro
Back
Top Bottom