Maandalizi ya 2025 yameanza Rasmi. Hofu ya mama ni kaskazini ilipo ngome ya Chadema. Dawa ya wanasiasa wabishi ni mwanasiasa mbishi Makonda.
Karata zinaendelea kuchangwa, Lema tayari kapata dawa yake.
Tuendelee kuimba anaupiga mwingi kwa sauti ya Mbowe
Ni jukwaa huru bro, unaweza underline mazuri yake kama waziri wa kilimo. Article yangu haikuwa kwa ajili ya kumpongeza ila kumsema kwa mianya mikubwa inayotuumiza wakulima yeye akiwa kakaa ofisini pasipo kuchukua hatua
Ni sahihi pia kuona anajitahidi ndugu. Lakini wakulima haswa wa mazao yasio nafaka bado tunaumizwa sana na hatuoni akichukua hatua.
1. Kahawa
2. Muwa
3. Parachichi
Tunaomba kwanza waondoe sheria ya mkulima kuwa controlled na vyama vya ushirika ambavyo lwa asilimia kubwa vimejaa upigaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.