Mnajifariji tu......Mwenezi alikuwa juu ya Mawaziri hadi PM anabow down.
Jibu la kijinga hili; tunajifariji kitu gani.

Mwenezi yuko juu ya mawaziri kwa kitu gani kama siyo imani itokanayo na ufinyu wa kuelewa mambo. Mwenezi ni msemaji wa chama; hana mamlaka ya kuteua au kufukuza mtu yeyote. Nguvu yake ni kusikilizwa tu, jambo ambalo hata mjumbe yeyote wa Halmashauri kuu analo
 
Maandalizi ya 2025 yameanza Rasmi. Hofu ya mama ni kaskazini ilipo ngome ya Chadema. Dawa ya wanasiasa wabishi ni mwanasiasa mbishi Makonda.

Karata zinaendelea kuchangwa, Lema tayari kapata dawa yake.

Tuendelee kuimba anaupiga mwingi kwa sauti ya Mbowe
 
Back
Top Bottom