Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

Hivi kweli unaamini dunia ni tambarare? Halafu ni kweli upande wa pili upo ila siyo material, huo upo kabisa bila shaka, ni parallel world, ipo kabisa wala mimi sina wasiwasi na tunaishi kule pia lakini bila kujua, ukijua utakuwa na control na utafurahia zaidi maisha yako!
nambie vizuri sielewi upande wapili.? wadunia.?
 
Dunia hii kuna mfumo wa ubinafsi tena umeletwa na pesa ,kama watu watakuwa na roho nzuri tunaweza kuondoa umaskini kabisa.

Unakuta mtu ana bill 4 tena kiongozi halafu wananchi hata 10k mtu hana kabisa ila hawezi kugawa hizo pesa kuwasaidia bora wafe njaa.
brother hata kazi hakupi😂 basi hata matibabu tu yuko ladhi ufe.! alafu mnataka dunia iwe nausawa.? hii dunia kumamamake zake
 
Siri ambazo ni za kweli ni hizi hata mtu abishe vip.

1. Umaskini duniani ni wa kutengenezwa makusudi ili kuipa thamani pesa ,kwa sababu hata nchi kama Tz ina uwezo wa kutokomeza umaskini na kila mtu akala milo zaidi ya mitatu. Usiniulize kwa nn!

2.katika hii dunia kuna watu wanapta pesa bila ya kutumia nguvu wala kufanya kazi yaani wanaprint tu ,ni matajiri zaidi ya wale waliopo kweny list ya Forbes ..Siri hii imefichwa ili watu waendelee kufanya kazi duniani ila wapo watu wanapiga pesa bwerere bila ya nguvu
wa TZ wote Leo tupewe million 300. hakuna mtu atapanda daladala.! alafu hakuna mwajiliwa ataenda kazini wataacha kazi. hasa walimu 3.hakuna mtu atapanga nyumba watu watajenga nyumba zao.! 4. baa zitakosa wahudumu.! sema😂 sio tatzo mishahara itapanda watu wataajiliwa tena kwa7bu huwezi kumlipa mtu lakitatu tena.! 😂😂 sisi mafundi machenics ndo tutakua kazini kwelikweli
 
Mzee usiende mbari huko antrantikaa kuna watu wanaishi ndani ya hii Dunia. Kule songwe - Mbeya kwenye maji motoo kuna shimo refu sana ndani ya pango mojaa, huo ndo mlango wa kuingia dunia ya ndani.
nipe ubuyu vizuri umesema mbeya kuna mlango.?
 
nambie vizuri sielewi upande wapili.? wadunia.?
Unajiitaje Jesus halafu hujui kama kuna ulimwengu wa kiroho, huo ndio chanzo cha ulimwengu wa kimwili na kwamba unapaswa kushinda kule kwanza kabla ya kushinda huku duniani?
 
k
Dunia hii kuna mfumo wa ubinafsi tena umeletwa na pesa ,kama watu watakuwa na roho nzuri tunaweza kuondoa umaskini kabisa.

Unakuta mtu ana bill 4 tena kiongozi halafu wananchi hata 10k mtu hana kabisa ila hawezi kugawa hizo pesa kuwasaidia bora wafe njaa.
Unajiitaje Jesus halafu hujui kama kuna ulimwengu wa kiroho, huo ndio chanzo cha ulimwengu wa kimwili na kwamba unapaswa kushinda kule kwanza kabla ya kushinda huku duniani?
nasikia tu ila siamini brother story zaungo tu.! siwezi kuamini story tu za watu labda nikiona nitaamini au kuishika lakni sio kusikia
 
Siri ambazo ni za kweli ni hizi hata mtu abishe vip.

1. Umaskini duniani ni wa kutengenezwa makusudi ili kuipa thamani pesa ,kwa sababu hata nchi kama Tz ina uwezo wa kutokomeza umaskini na kila mtu akala milo zaidi ya mitatu. Usiniulize kwa nn!

2.katika hii dunia kuna watu wanapta pesa bila ya kutumia nguvu wala kufanya kazi yaani wanaprint tu ,ni matajiri zaidi ya wale waliopo kweny list ya Forbes ..Siri hii imefichwa ili watu waendelee kufanya kazi duniani ila wapo watu wanapiga pesa bwerere bila ya nguvu
mbona hawa wanaopiga pesa bila nguvu ndo wapo wengi unajua wenye hela ni wanasiasa na sio wale wafanya biashara.... lkn wakionekana wao ndo wenye hela hawataaminika kwa jamii yao waliyoiaminishankyuwa nwao ni wawakilishi wa shida zao
 
Back
Top Bottom