Dunia ni ya ajabu sana

Mzee makoti

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
2,675
3,188
As/aleikum wakuu

Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel bwana akauza kabla ya mwezi.

Na kuna mwingine alikuwa na hela mtaji karibia milioni mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti?

Matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.

Sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhi
 
Na kuna mwingine alikua na ela mtaji karibia milion mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti????

matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.

Mod: msiuhamishe huu uzi maana mna kimbelembele sana.

sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhi
Broh kama unataka kwenda kwa mganga au kupata mali kwa njia hiyo, it's okay unaweza fanya tu maana uamuzi ni wako.

Ila usianze kutoa mifano miingi ili kujustfy unachotaka kufanya.
 
Ule uzi wako wa story ya kufumaniwa mbona siuoni, upo jukwaa lipi? Nimesoma portion 3 tu hlf sioni tena muendelezo
 
As/aleikum wakuu

Dunia ina mambo sana, kuna jamaa ametangaza kuuza nyumba yake kikawaida uku akimtegemea Mungu, imepita miaka ajaiuza, na nyumba ipo sehemu nzuri tu, akaona bora amtafuta mtaalamu anaemjua yeye, akaja akamfanyia ya uongo na kweli, akamuambia haidhidi wiki au mwez utaiuza, kwel bwana akauza kabla ya mwezi.

Na kuna mwingine alikuwa na hela mtaji karibia milioni mia na akafirisika kimaajabu, na haikutosha akapata na mtoto ambae ni mlemavu kusikia na kuongea na wengineo ambao wapo sawa, sasa umasikini unamkabili haswa, wale wenzie ambao wanafanya biashara na kutegemea waganga, mambo yao yamenyooka haswaa, hii dunia ni mtihan na haieleweki, kwann wanaomtegemea Mungu hawafanikiwi eti?

Matajiri wanafanya shiriki wakuu,msiwaone hivyo,wote hao mnaowajua ni washirikina hasa.

Sipo vizuri kwenye kuandika mniwie radhi
Jaman hela zinapatikana kihalali kabisa ndugu zangu, jiwekee utaratibu tu wa kuamua kuanza. Jinyime kweli kweli na muombe Mungu. Jiwekee malengo ya miaka 10 kila siku hela ilale chini. Nakuhakikishia hela zipo nyingi sana jinyime na uanze sasa. Ishi life lako na amua kuanza.
 
Muda si mrefu utaenda kumpelekea mganga rizki yake.
Muda si mrefu utampelekea mganga rizki yake.
Una riziki ya mganga mfukoni mwako inasubiri muda tu.
 
Jaman hela zinapatikana kihalali kabisa ndugu zangu, jiwekee utaratibu tu wa kuamua kuanza. Jinyime kweli kweli na muombe Mungu. Jiwekee malengo ya miaka 10 kila siku hela ilale chini. Nakuhakikishia hela zipo nyingi sana jinyime na uanze sasa. Ishi life lako na amua kuanza.
Ok
 
Confidence / Kujiamini - Kwahio kama unajiamini kwamba una nguvu fulani hata kama hio nguvu haipo itakuongezea motisha na kutokukata tamaa.... Hio Poem chini by Walter D. Wintle inaelezea kila kitu

If you think you are beaten, you are
If you think you dare not, you don't,
If you like to win, but you think you can't
It is almost certain you won't.

If you think you'll lose, you're lost
For out of the world we find,
Success begins with a fellow's will
It's all in the state of mind.

If you think you are outclassed, you are
You've got to think high to rise,
You've got to be sure of yourself before
You can ever win a prize.

Life's battles don't always go
To the stronger or faster man,
But soon or late the man who wins
Is the man WHO THINKS HE CAN!
Kwahio watu ambao wana Imani kwamba kuna nguvu fulani itakayowawezesha wana-THINK they can na mwisho wa Siku they WILL - atleast kwenye dunia ambayo ni level playing field na hakuna kutumia faulo wala whom you know....
 
Back
Top Bottom