Kugongana kwa mabasi Sauli na New Force lilikuwa jambo la Muda tu

Kwa nini abiria huwa kimya badala ya kumwajibisha dreva na wakiulizwa na trafiki wanasema mambo shwari?
Hii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi?

Maraia zinaitika "iko sawa afande".
 
Wewe mbona hutumii akili?

Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Wewe ndiyo huna kichwa kabisa. Topic inahusu NewForce na Sauli na Golden Deer kugongana. Na picha zipo halafu unauliza kama zimewahi kugongana. Nyie ndiyo wehu wenyewe wa kutoka Mbeya mnaoshabikia Mwendokasi
 
Hii ni kweli mkuu. Kuna siku nimepanda basi toka Dar kwenda Mwanza, chuma ilikuwa inapigwa mikwaju ya kufa raia, hapo tumeshika roho na kusali tu. Cha ajabu imepigwa mkono inspector anaingia anauliza vipi mwendokasi?

Maraia zinaitika "iko sawa afande".
Kuna shida yoyote? Hakuna Afande
 
Wewe mbona hutumii akili?

Mimi nakuuliza kuhusu sauli
Masuka wa Sauli, New Force, Super Feo, Msigwa mavi yao wote wanafukuzana kipumbafu sana. Saa 12:45 asubuhi huwa wanapita kwenye mataa ya Morogoro wanafuata matakoni kama siafu.

Mamlaka husika nyang'anya Leseni hao Masuka waliosababisha ajali kwa kufuzana matakoni kama siafu pumbafu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara mia niarishe safari ila sio kupanda hizo kampuni,kuna maeneo wakikutana wanakimbia vibaya mno yan mpaka abiria unashindwa kukohoa kwa kuhofia usije mtingisha dereva,hao majamaa wasikie tu ila sio salama kabisa.Ila sauli kama vipi aongeze nguvu machimboni maana barabarani hapamwendei vyema,japo kijana mwenzake Achimwene ameongeza bus za makongorosi dar juzi hapa.View attachment 2946832

Kaanza uchawa nae:

1000101718.jpg
 
Mimi bado ntazitupia lawama mamlaka husika kwa kushindwa kutofautisha ratiba za hawa wapuuzi ingali wanajua kinachoendelea. Kanda ya ziwa waliweka utofauti wa ratiba kati ya Chungwa na Jini Kisirani
Ni sababu pia, mamlaka ziwaangalie upya watagharimu maisha ya wengi wasipowachukulia hatua.
 
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa

Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao njiani zilipita uhalisia wa safari za kuwahi kufika

=====

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw.Abubakar Kunenge, amezungumza na #ITVDigital ambapo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya New Force, basi la Kampuni ya Sauli pamoja na Lori la mafuta, katika eneo la Ruvu, mkoani humo.

Kunenge amesema abiria walifanikiwa kutoka kwenye mabasi hayo isipokuwa abiria wawili ambao walikuwa wamebanwa kwenye moja ya mabasi hayo na wakati Jeshi la Zimamoto na Jeshi la Polisi wakiendelea na juhudi za kuwaokoa ndipo moto ukalipuka na kusababisha abiria hao kufariki dunia.

View attachment 2946656View attachment 2946657
USSR

Pia soma Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu
Serikali haina uwezo wa kuzuia hajari hata kama viashiria vitakuwepo mfano haya mabasi kila siku yanafukuzana polisi wanayaona lakini hawachukui hatua
 
Back
Top Bottom