spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 6,086
- 15,750
Hapa una range ya pesa ngapNi balaa
Wapenzi wa perfume nzuri nipeni kazi 👌
Nmechoka kuambiwa na wifi yenu anasema akiona beberu tu hisia zinampanda
Hapa una range ya pesa ngapNi balaa
Wapenzi wa perfume nzuri nipeni kazi 👌
Hapa una range ya pesa ngap
Nmechoka kuambiwa na wifi yenu anasema akiona beberu tu hisia zinampanda
Barcode unayo, how much?Branded kuanzia 70k -2M
Ila kuna nzuri ambazo siyo Brand name za 45,000-100,000
Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
khaaaahnakukimbia udugu hata kuaga siagi
Nkamu hiyo maporini sasa umenikumbusha shangazi yangu wa mtukula
Yy anapiga maporini huko kwenye nyumba zenye ufa
Woiiiiii!! Dear hii Delmare unayo? Nimeitafutaa sanaa, nilienda hadi mikocheni kuna duka, wakasema hazipoo.Ni balaa
Wapenzi wa perfume nzuri nipeni kazi
Nichek inbox nipo Dubai nakutumia Tu unachukua Dukani kwangu KariakooWoiiiiii!! Dear hii Delmare unayo? Nimeitafutaa sanaa, nilienda hadi mikocheni kuna duka, wakasema hazipoo.
Yaan nimepata goosebumps!!
Nakuja chap dear!!Nichek inbox nipo Dubai nakutumia Tu unachukua Dukani kwangu Kariakoo
All in all.. perfume inategemea na ww mwili wako unatoa jasho la aina gani.. mie naweza kupulizia kitu ikanikataa ila mwingine ikaw imempenda ina match na aura yake..
Sasa kuna wimbi la KUFATA MKUMBO.. mtu akiskia Sauvage inanukia vzr bas kesho na yeye kanunua.. anakuja kunukia kama kenge aliyekaangwa.
Zipo ambazo zinadumu ila za kubahatisha pia nyingi wanazichakachua sana na harufu huwaga pale mwanzoni tu unapoanza zitumia lakini kadri inavyozidi pungua hata harufu huwezi isikia tenaHabari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Hii ya kutohis harufu nadhan ni kwa pafyum zote mf.naonaga nkitumia baada ya wiki kadhaa mimi nakua sihisi ila mwingine anahis harufuZipo ambazo zinadumu ila za kubahatisha pia nyingi wanazichakachua sana na harufu huwaga pale mwanzoni tu unapoanza zitumia lakini kadri inavyozidi pungua hata harufu huwezi isikia tena
Ndugu nafikaje ofisin kwako nipate bidhaa toka kwako,maelekezo tafadhaliNichek inbox nipo Dubai nakutumia Tu unachukua Dukani kwangu Kariakoo
0655155782 piga utapewa directionNdugu nafikaje ofisin kwako nipate bidhaa toka kwako,maelekezo tafadhali
Sasa saa ni kitu kingine!ni sawa na nikute mwanaume ananunua saa et 450k au 500k wooooi
Nenda kwenye duka la Albait Aldimashqi Perfume ni za kutoka UAE. GSM mall unazipata hizo mzee. Zinanukia vizuri. Ndizo perfume ninazotumia.Embu recommend me, the best male perfume currently, thanks in advance.