Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,230
- 10,620
Mimi majina ya perfume huwa sihangaiki nayo. Maadamu nalijua duka la kununulia na kampuni yangu pendwa naingia kwenye duka langu pendwa.Imagine kwenye top ten yako sijui hata moja, yaani achilia mbali kutumia, hata jina sijui🤣🤣🤣
Anayehangaika na majina ya perfume ni mwenzangu na wanawake hayo ni mambo yao.
Ananisubiria labda kipindi hiki natumia aina fulani ya perfume ikiwa inakaribia kuisha anaenda kunichukulia ya aina nyengine kwenye duka hilo hilo na kampuni hiyohiyo! Utasikia mara ya kwanza ulikuwa unatumia hii kwa sasa tumia hii!