News Alert: FT: Simba 1-0 Azam FC | Muungano Cup | Final | New Amaan Complex | 27.04.2024

Yeyote ashinde kwenye hili bonanza la muungano ambalo lilianza na shule za msingi Sekondari vyuo Sasa Simba na azam wanahitimisha
Kwangu naona yanga atapigwa fitna ambazo hajawahi kutana nazo kwa kukataa hili bonanza huenda Leo coastal akapewa penalty mbili huku yanga akila red card na kunyimwa goli
 
Kuna wakati nawaza kama vile Uto walikuwa sahihi.

Kuna mashindano mengine ukichomekewa katikati ya plan zako, ukaingia kichwa kichwa yanakutoa mchezoni. Ona haya yashatengeneza viporo 2 vya ligi kuu.
 
Yah Kuna viporo viwili ila labda Kuna nipe nikupe tutaona
 
Back
Top Bottom