wazayuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wanaukumbi. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano. Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B...
  2. M

    Hizbullah yaitwanga tena kwa makombora Israel, Wazayuni wakimbia kwa umati

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa...
  3. M

    Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yasimamishe mashambulizi ya Wazayuni

    Nov 08, 2023 03:33 UTC Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana wajibu wa kusimamisha dhulma na hujuma hizo za kikatili za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Ukanda...
  4. M

    HAMAS: Tuna uhakika taifa la Palestna litashinda vita na wavamizi Wazayuni

    Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa. Televisheni ya Al Jazeera imemnukuu, Osama Hamdan, mmoja wa...
  5. kimsboy

    Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni

    Hizbullah: Ndege yetu ya upelelezi imeingia na kutoka salama katika ardhi za Palestina zinazokaliwa na Wazayuni Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani aina ya "Hassan" imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina...
  6. jollyman91

    Shirika la ujasusi la Kizayuni lafungua ofisi yake ya uwakilishi Abu Dhabi, UAE

    Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu. Kwa mujibu wa duru hizo za habari, shirika la kizayuni la AWZ Ventures linalojihusisha na teknolojia ya ujasusi...
  7. jollyman91

    Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni

    Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa...
Back
Top Bottom