kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana

    Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. Unakuta mtu...
  2. Tlaatlaah

    Mchecheto kwenye kutongoza

    Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah. Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu...
  3. R

    Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    Habari Wadau, Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati. Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh! We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba...
  4. Melki Wamatukio

    Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  5. Daydream

    Hasara za kutongoza mtandaoni

    Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti. Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  7. Don Calipso

    Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  8. A

    Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  9. Wadiz

    Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  10. Melki Wamatukio

    Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  11. Balqior

    Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
  12. Infinite_Kiumeni

    Unapata shida ukitaka kutongoza sababu unajiwekea mzigo mkubwa, lakini ukitongoza hivi hutopata shida

    Kutongoza ni mchakato wa kujuana. Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja. Mchakato unaohusisha; Kujuana historia zenu, Kupata muda pamoja, Kufurahi pamoja, Kuchombezana, Kufanya mapenzi, na...
  13. Infinite_Kiumeni

    Ukitaka kutongoza bila shida, mfanye akuamini kwanza kwa kuzingatia haya

    Kabla hujataka awe na hisia na wewe zaidi. Kabla hujataka akupende zaidi. Anza kwanza kumfanya awe na imani nawe. Ili aweze kujiachia kwako. Akishakuamini ni rahisi kukupenda zaidi, kukusamehe zaidi na kuwa na hisia nawe zaidi. Hata kwenye mahusiano, endelea kujenga imani Mana haijalishi...
  14. Balqior

    Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  15. G70

    Wanaume mnao tumia english kutongoza

    ✌️ Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni. Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina kublock ukija na mbwembwe zako za magari ndio kabisa nakukataa
  16. Dcxkobe

    Naogopa kutongoza

    Wadau nipo monduli huku mwaka mmoja Sasa kuna mademu wa mburu au waitaq wengi Sana na makabila mengne ya kaskazin Ila nakua mzito Sana kuwatongoza
  17. Balqior

    Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
  18. Infinite_Kiumeni

    Kwanza Ijue Maana Halisi Ya Kutongoza, Ili Usipate Shida Kujiuliza Unamtongozaje Mwanamke

    Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke. Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi. Wanawafundusha wanawake uchunaji. Wengine wanakesha mtandaoni...
  19. miles45

    Vijana acheni kutongoza mkiwa na Ashki

    Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na ugwadu. Ukiwa na ugwadu unakua desperate sana na ndio maana mnapigwa mizinga ya ajabu ajabu na kuwekewe condition za ajabuajabu ili mpewe...
  20. La Quica

    Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

    Mambo yasiwe mengi. Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF. Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au...
Back
Top Bottom