kiporo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
  2. Mjanja M1

    Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

    Harusi ilifanyika 27/12/2023 nilihudhuria pia tukanywa tukafurah leo napewa taarifa wameachana baada ya mwamba kugundua demu anapasha kipolo na mzaz mwenzake(mwanaume aliyezaa nae), demu kaomba msamaha vikao vimekalika lakini our own legend kasema no it's over!,ndoa za sikuhizi💔🙌
  3. Frank Wanjiru

    Simba kucheza kiporo chake cha Azam Federation 28 February Azam Complex

    Klabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
  4. U

    Uliwahi kutana na mpenzi wako ambae mlipotezana bila mawasiliano huku penzi likiwa moto? Mliendelea mlipoishia?

    Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
  5. Hance Mtanashati

    Lady Jaydee bado ana kiporo cha hili swali kuhusu Chidi Benz, naomba atuweke bayana ukweli kuhusu yeye na Child Benz nini kilitokea baina yao?

    Kuna wimbo Lady Jaydee aliimba na Chidy Benz unaitwa Uko juu, kwenye audio ya huo wimbo verse ya Chidy ipo ila video yake Lady Jaydee alifuta verse ya Chidy . Inavyosemekana kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba Chidy alikuwa anamtaka kimapenzi Lady Jaydee akaamua kumtongoza Lady Jaydee ,Lady...
  6. shampondo shila

    Kwa nini mnajifanya hamli kiporo cha ugali ila wali mnakula

    Unakuta mtu anasema eti halagi viporo ila cha ubwbwa anakula
  7. GENTAMYCINE

    Siyo umetoka huko na 'Domo Lako' umeshakula Mtindii na Kiporo cha Kande unakimbilia tu 'Kumbusu' Mtoto wa Watu haitakiwi kabisa Kiafya

    Siyo tabia nzuri kubusu watoto wa watu hasa midomoni pale tunapowatembelea. Midomo ya watu wazima hasa wasio wazazi wa mtoto husika haiwezi kuwa salama, pia ni ngumu kujua mhusika kapita wapi kabla ya hapo. Huu siyo upendo wala usasa. Tunapaswa kuikemea tabia hii. Chanzo: AfyaInfo
  8. 44mg44

    Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

    Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza. Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote. Mwenye ushahidi juu ya hili alete
  9. Mother Confessor

    Kiporo kipi kitamu zaidi?

    Habari ya leo wapenda kula mapocho pocho wenzangu. Hivi kati ya kiporo cha wali na maharage/ wali ndondo na kiporo cha wali kisamvu (cha nazi au karanga) kipi kitamu? Yaani nimeona niulize wala viporo wenzangu kwa sababu hapa namalizia kunywa chai na kiporo cha kisamvu yaani nimekaa chini...
Back
Top Bottom