Kiwanja kinauzwa Kimara mwisho Millenia
Ni mkono wa kushoto ukiwa unatoka ubungo
Kiwanja kina mita 20×16, kipo sehemu tambarare. Kinapakana barabara ya mtaa. Unaweza kujenga fremu za biashara. Bei mln 14 maongezi kidogo yapo
Hati iliyopo ni ya serikali za mitaa
0675 065906.
Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa.
Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana.
Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache.
Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida.
Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri.
Katika vituo vya hatikati ya...
Habari za wakati huu!
Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea.
Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee?
Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
Ndugu Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa pamoja na watendaji wote wa TANROAD Mkoa wa DSM.
Wananchi wanataka kujua kuna tatizo gani au kitu gani kimekwamisha kukamilika na kuanza kutumika barabara ya mwendo Kasi kuanzia kimara mwisho hadi mpakani kibaha?
Barabara ya mwendo Kasi kuanzia eneo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.