kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 597
- 1,507
Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
Unaelekea wapi?kuna roli la mafuta limeziba njia tuna masaa mawili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
Mi km ningekua na uwezo ningefuta sound R kwenye kiswahili, ni usumbufu tu.Jamani sio roli ni lori, sijui kwanini watu wengi huwa hajui jinsi ya kutofautisha hilo.
Anyways, poleni.
Na huyo unakuta ana Masters DegreeJamani sio roli ni lori, sijui kwanini watu wengi huwa hajui jinsi ya kutofautisha hilo.
Anyways, poleni.
Sometimes wanaokaa dar wanajikuta wajanja sana, ona sasa tabu mnazopitiaKuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
Mimi nikisema nawe umekosea kuwa sio lori bali ni lorry nitakuwa sawa?Jamani sio roli ni lori, sijui kwanini watu wengi huwa hamjui jinsi ya kutofautisha hilo.
Anyways, poleni.
Si mpaka awe na gari sasa, kama hana bora atembee Pembezoni mwa barabara wasije kumkaba buureAiseeh poleni, hapo kama kuna namna ya kuingia service road fanya hivyo uingie ndanindani utokelezee mbezi mwisho laa sivyo Eid itakukuta hapohapo.
Usishangae ni mali ya waziri fulaniKuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
Sometimes wanaokaa dar wanajikuta wajanja sana, ona sasa tabu mnazopitia
....
unakuta mtu hajafika home mpaka sasa
🤣🤣🤣🤣 mzee ulipania kwenda tu.duh nipo ubungo sijui niende riverside kusikilizia hyo folen
Beba zana kabisaduh nipo ubungo sijui niende riverside kusikilizia hyo folen
ukitoka korogwe kuitafuta kimara mwisho hakuna njia ya kuchepuka.Sasa hapo kuna njia mchepuko kibao.we unalia lia hapa.
Mi ningekua home sa nyingi.